TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Habari wadau..!
Huku mitaani wenye nyumba tumeipokea kwa furaha sana bajeti ya Mwigulu Lameck Nchemba.
Kwa sasa tutakuwa hatusumbuki tena kwenda bank kulipa kodi maana kodi zitalipwa automatically na wapangaji kupitia manunuzi ya umeme kama wenye nyumba hauishi kwenye nyumba uliyopangisha au tutachangia wote kama tunaishi pamoja hii itatupunguzia mzigo sana kwa wenye nyumba.
Hapa ndio ninapoona kwamba mama Samia Suluhu Hassani the presidente of JMT hakukosea kuchagua Mwigulu.