Binafsi naamini hii Inchi haitaisha visasi kwasababu kwa mtu makini ulipaswa kuwaza vitendo vya sabaya ndo kosa lake au maana ni viongozi wengi ambao wamekua wakikiuka misingi ya haki ila wapo tu.
Usishangae PCCB kusema hawaja mhoji Makonda na hawana sababu ya kufanya hivyo wakati alituhumiwa Kwa makosa kama ya Sabaya tuhuma zilitolewa na Gwajima kuwatisha matajili na wafanyabiashala wa kiarabu kuwanyanganya magali, lakini pia kuvamia kituo cha TV cha clous namengine mengi.
Ila pia vingozi wengi wamekua wakikiuka misingi ya haki waziwazi kama waliowahi kuwapiga watu viboko hadhalani yani inchi hii ni hovyo kabisa wengine wameteuliwa kuwa ma RC ila ni hovyo tu hawakustahili kabisa yani inchi hii hakuna utawala wa Shelia wakubwa kuchunguzwa mpaka kauli ya mtu sasa ni inchi yakuendeshwa Kwa kauli sio Sheria.
Hivi niwaulize nyinyi PCCB Leo mnasema Hamna sababu yakumchunguza Makonda kweli? Hivi mkuu akisema mummchunguze Kwa tuhuma alizokua akituhumiwa mtasemaje?
Naamini ukitaka kuchunguza viongozi wote wateule wa Raisi niwengi wenyehuruka za Sabaya ila naamini kunavisasi nyuma ya pazia.