Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Mwenyekiti wa CHADEMA na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika, mheshimiwa Mbowe ametangaza kustaafu.
Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana CHADEMA mwenye uwezo.
Kama Taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tunaamini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha CHADEMA imekua na kuanza kuwa tishio.