CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji ni aibu kubwa kwa CCM.

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,818
21,422
CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji, ni aibu kubwa sana kwa CCM Kwani haiwalipi watendaji wake hata Senti Tano ikiwa ni sehemu ya mshahara.

Hii ni aibu kubwa , mwenyekiti wa CCM Taifa ili kukiboresha chama Anza na hilo. Chama kuendeshwa kwa njia hiyo ninkuzalisha Wala Rushwa na CCM inaipa Takukuru wakati magumu sana especially wakati wa uchaguzi. Sasa ni wakati wa kufanya mageuzi ndani ya chama kwa kuwajali viongozi wake na watendaji wake.

Mbowe hongera sana kwa kuliona hilo Jamba la kuwalipa viongozi wote mishahara minono.
 
Unaamini hizi porojo za mwenyekiti?

Hivi mmeshafanya mchanganuo wa hiyo mishahara ni kiasi gani
 
CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji, ni aibu kubwa sana kwa CCM Kwani haiwalipi watendaji wake hata Senti Tano ikiwa ni sehemu ya mshahara. Hii ni aibu kubwa , mwenyekiti wa CCM Taifa ili kukiboresha chama Anza na hilo. Chama kuendeshwa kwa njia hiyo ninkuzalisha Wala Rushwa na CCM inaipa Takukuru wakati magumu sana especially wakati wa uchaguzi. Sasa ni wakati wa kufanya mageuzi ndani ya chama kwa kuwajali viongozi wake na watendaji wake. Mbowe hongera sana kwa kuliona hilo Jamba la kuwalipa viongozi wote mishahara minono.
Mwenyekiti faru John, kajikamatia nyumbu wa kutosha.Anawaendesha atakavyo. Poleni Sana.
 
Unaamini hizi porojo za mwenyekiti?

Hivi mmeshafanya mchanganuo wa hiyo mishahara ni kiasi gani
Utaona ni porojo Ila ni mahali pa kuanzia. Huwezi ajiri watu usioweza kuwalipa at the same time unasema unajiita chama tawala. Unatawala nini
 
CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji, ni aibu kubwa sana kwa CCM Kwani haiwalipi watendaji wake hata Senti Tano ikiwa ni sehemu ya mshahara. Hii ni aibu kubwa , mwenyekiti wa CCM Taifa ili kukiboresha chama Anza na hilo. Chama kuendeshwa kwa njia hiyo ninkuzalisha Wala Rushwa na CCM inaipa Takukuru wakati magumu sana especially wakati wa uchaguzi. Sasa ni wakati wa kufanya mageuzi ndani ya chama kwa kuwajali viongozi wake na watendaji wake. Mbowe hongera sana kwa kuliona hilo Jamba la kuwalipa viongozi wote mishahara minono.
Hiyo bajeti ya mishahara sisi watendaji tumemsamehe ajenge ofisi yao pale ufipa!
 
Back
Top Bottom