Operesheni Haki, Songea: Benson Kigaila ongoza semina, majadiliano na vikao vya ndani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,653
218,142
Mkakati kabambe wa kuchagiza Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, ukiambatana na mdogo wake aitwaye Chadema Digital ambao uko Kanda ya Kusini, leo umetikisa Mkoa wa Ruvuma kwa kuvunja rekodi ya Mahudhurio.

Naibu Katibu Mkuu Mh Benson Kigaila aliongoza semina, majadiliano na vikao vya ndani.

BAVICHA_DODOMA_on_Instagram__%E2%80%9CNaibu_Katibu_Mkuu_Bara_Mhe._Benson_Kigaila_akizungumza_n...jpg
 
Back
Top Bottom