Helikopta itumike CHADEMA kuwafika kila Kata

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
KUTUMIA HELKOPITA SASA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NI SALAMA KWA CHADEMA TANGU MARCH 2021.

Ndugu zangu wananchi na wanachama wapenda mabadiliko ya mfumo wa KATIBA YA NCHI.

Ndugu Mbowe umelianzisha na umefaulu kuhutubia mikoa 24 bila bughudha za KIJESHI.Kwanza nimpongeze Amiri jeshi mkuu kwa kuishi kiapo chako

Mhe. Mbowe, nashauri sasa upange ratiba ya HAKI KATA KWA KATA, wananchi wengi huko vijijini wanahitaji elimu ya kisiasa.
Ombi langu ukiwa vijijini usimuongelee Magufuli.

Ongelea maji, barabara na masoko ya bidhaa zao. Baadhi ya vijiji mito ni mingi lakini hakuna huduma ya maji.

Fanya mbinu kutumia helkopita ili angalau kuzifikia KATA nyingi kwa siku,gharama usijali wapo wadau wengi tu watajitokeza.Cha msingi LIANZISHE
 
Excellent IDEA hope Mnyika atalichukua kwa utekelezaje.
Ila muwe tayari kuchangia gharama , Helicopta sio pikipiki ilee.
 
Asante nchi inarudi kwenye mstari mnyoofu na CHADEMA mjipange kwa demokrasia ya level nyingine, yule mwoga wa demokrasia kasha pumzishwa.
 
Back
Top Bottom