Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,318
8,231
Nilikua naomba sana Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu ili kupisha wengine wenye mawazo na mitazamo tofauti kuingia bungeni.

Saa nyingine tunachelewa kuendelea kwa kuwa na wabunge walewale miaka nenda rudi.

Nini maoni yako katika hili.
 
Awamu mbili maximum hili liwemo kwenye Katiba mpya.
Nilikua naomba sana Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu ili kupisha wengine wenye mawazo na mitazamo tofauti kuingia bungeni.

Saa nyingine tunachelewa kuendelea kwa kuwa na wabunge walewale miaka nenda rudi.

Nini maoni yako katika hili.
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Pia mishahara yao iangaliwe upya, ikatiwe kodi na waingizwe katika makato ya mifuko ya hifadhi za jamii ili wanapomaliza uongozi wapewe chao kama wastaafu wengine wanavyopewa stahiki zao....

Kinachofanyika sahivi ni kuchota pesa, kula jasho za watu.
 
Pia kwa walio na umri wa miaka chini ya 60. Wasubiri mafao yao wakifikisha miaka 60. Mafao hayo yatokane na jinsi walivyochangia..!

Vinginevyo warudishe fao la kujitoa..!
 
Back
Top Bottom