Iramba ni nyumbani kwa Mawaziri watatu lakini inazidi kudorora!

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
265
240
Prof. Kitila Mkumbo kwa Mwaka 2025 nina uhakika hana lake Jimbo la Ubungo.

Mwaka 2020 aliingizwa kibabe na hangeshinda. Dr. Dorothy Gwajima - Mnyiramba wa Tarafa ya Shelui naye anaonesha kunogewa na siasa - hakika atagombea Jimbo la Iramba. Dr. Mwigulu Nchemba (Mamba Kinani) ameendelea kujiamini na kujijenga katika siasa za Kitaifa kwa sababu Jimboni hana tena mpinzani.

Wabunge wa kweli Iramba hawataki siasa wapo kimya - sio kuwa wana hofu lakini pia wamevaa utashi wa dhati ya mioyo yao. Hawataki mgawanyiko.

Sasa hawa wabunge ambao wote ni Mawaziri kuna maendeleo yeyote wanaweza kujivunia kuiletea Iramba? Prof. atasema ooooohhhh yeye ni wa Ubungo lakini tunajua moyo wake upo Iramba ila kiwiliwili ndiyo kipo Ubungo. Hakika imeshapita miezi saba sasa tangu hawa watu waingine uongozini lakini hamna chochote ambacho angalau kinaonesha nia njema waliyonayo kwa Iramba.

Dkt Mwigulu anataka ifike 2023 ndiyo aanza kuchacharika kuwahadaa wananchi. Prof. Kitila vipi mbona wakati hujawa Waziri Jimbo la Iramba ndiyo ilikuwa mahali pako pa kutalii?

Imekuwaje tangu upate ubunge wa kupachikwa na Mwendazake Ubungo na Uwaziri huo huku Iramba umepashit kabisa! Tukueleweje? Au ndiyo ulitaka tu kututumia kama ngazi? Hauna tofauti na Dkt Mwigulu!

Dr. Dorothy Gwajima nina uhakika ukipunguza mbwembwe kidogo tu 2025 unachukua hili Jimbo. Ninakufahamu vizuri na wewe ninajua unanifahamu vema ukisoma tu hapa utajua ni nani kaandika. Njoo mwka 2025 Iramba inakuhitaji - ili ufanikiwe anza mapema - kama ambavyo uliibadili Hospitali ya Wilaya yetu ikawa ya viwango wakati upo kama incharge hapa nina uhakika wewe una cha kujivunia Iramba kuliko hata Dkt. Mwigulu. Anza sasa - weka mipango murua na ufanyie kazi ili Jimbo hili liwe lako mwaka 2025 tuachane na hao wenzio wenye ndoto za URais kila kukicha.

Ninawashauri wote - kama mtaendelea kuwa kimya bila kuiongelea Iramba hakika mkianza mwaka 2023 tutajua fika mnaanza kujipendekeza ili mkubalike 2025. Sisi tunataka muanze sasa, mgombane sasa kwa kuoneana wivu huyu kaahidi hiki, yule kaahidi kile, huyu kaleta kile, yule kawaleta wadau wa maendeleo wale.

Anzeni kugombania nafasi mapema ili jimbo letu lichangamke! Acheni kuogopana nyie Wanyiramba!
 
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe

Sisi tunawatazama tu maana Waziri wa Fedha alikuwa na uwezo wa kuhakikisha Iramba (safari hii) madeni yote ya watumishi (hasa walimu) yanalipwa kwa kuyapa kipaumbele.

Mistake hii ikijirudia itakuwa ni second time Mwigulu kupata nafasi golini na kushindwa kufunga goli

We're just watching it very clearly and sensitively!!
 
Mtu Kawa wewe ni aina ya wale watu walioaminishwa kuwa usichague mbunge wa upande fulani kwa sababu anakucheleweshea maendeleo bila kujua kuwa mleta maendeleo kwenye majimbo kwa asilimia zaidi ya tisini ni serekali na sio mbunge. Jamani tujifunze kutofautisha majukumu ya mbunge/ wabunge na serekali.
 
Bora umemwambia mapema!
 
Mtu Kawa wewe ni aina ya wale watu walioaminishwa kuwa usichague mbunge wa upande fulani kwa sababu anakucheleweshea maendeleo bila kujua kuwa mleta maendeleo kwenye majimbo kwa asilimia zaidi ya tisini ni serekali na sio mbunge. Jmn tujifunze kutofautisha majukumu ya mbunge/ wabunge na serekali.
Ni kweli - lakini unajua kuwa Serikali ni watu? na watu wenyewe ndiyo sisi? Mimi, wewe, mbunge, Waziri na hata Rais - lakini tumewapa baadhi yetu watuongoze! Wabunge wanatuongoza ili tujipatie maendelao! So sio vibaya kuwategemea!
 
Prof. Kitila Mkumbo kwa Mwaka 2025 nina uhakika hana lake Jimbo la Ubungo.

Mwaka 2020 aliingizwa kibabe na hangeshinda. Dr. Dorothy Gwajima - Mnyiramba wa Tarafa ya Shelui naye anaonesha kunogewa na siasa - hakika atagombea Jimbo la Iramba. Dr. Mwigulu Nchemba (Mamba Kinani) ameendelea kujiamini na kujijenga katika siasa za Kitaifa kwa sababu Jimboni hana tena mpinzani.

Wabunge wa kweli Iramba hawataki siasa wapo kimya - sio kuwa wana hofu lakini pia wamevaa utashi wa dhati ya mioyo yao. Hawataki mgawanyiko.

Sasa hawa wabunge ambao wote ni Mawaziri kuna maendeleo yeyote wanaweza kujivunia kuiletea Iramba? Prof. atasema ooooohhhh yeye ni wa Ubungo lakini tunajua moyo wake upo Iramba ila kiwiliwili ndiyo kipo Ubungo. Hakika imeshapita miezi saba sasa tangu hawa watu waingine uongozini lakini hamna chochote ambacho angalau kinaonesha nia njema waliyonayo kwa Iramba.

Dkt Mwigulu anataka ifike 2023 ndiyo aanza kuchacharika kuwahadaa wananchi. Prof. Kitila vipi mbona wakati hujawa Waziri Jimbo la Iramba ndiyo ilikuwa mahali pako pa kutalii?

Imekuwaje tangu upate ubunge wa kupachikwa na Mwendazake Ubungo na Uwaziri huo huku Iramba umepashit kabisa! Tukueleweje? Au ndiyo ulitaka tu kututumia kama ngazi? Hauna tofauti na Dkt Mwigulu!

Dr. Dorothy Gwajima nina uhakika ukipunguza mbwembwe kidogo tu 2025 unachukua hili Jimbo. Ninakufahamu vizuri na wewe ninajua unanifahamu vema ukisoma tu hapa utajua ni nani kaandika. Njoo mwka 2025 Iramba inakuhitaji - ili ufanikiwe anza mapema - kama ambavyo uliibadili Hospitali ya Wilaya yetu ikawa ya viwango wakati upo kama incharge hapa nina uhakika wewe una cha kujivunia Iramba kuliko hata Dkt. Mwigulu. Anza sasa - weka mipango murua na ufanyie kazi ili Jimbo hili liwe lako mwaka 2025 tuachane na hao wenzio wenye ndoto za URais kila kukicha.

Ninawashauri wote - kama mtaendelea kuwa kimya bila kuiongelea Iramba hakika mkianza mwaka 2023 tutajua fika mnaanza kujipendekeza ili mkubalike 2025. Sisi tunataka muanze sasa, mgombane sasa kwa kuoneana wivu huyu kaahidi hiki, yule kaahidi kile, huyu kaleta kile, yule kawaleta wadau wa maendeleo wale.

Anzeni kugombania nafasi mapema ili jimbo letu lichangamke! Acheni kuogopana nyie Wanyiramba!

Ni mawazo ya kijinga na kipumbavu sana haya toka kwa mtu/watu waliozoea wizi na upendeleo na pengine kudhulumu watu wengine....

Haya mambo ndiyo tuliyapigia kelele wakati Mwendazake Magufuli akipeleka na kuelekeza rasrimali za nchi nyingi kule kwao Chato eti tu kwa sababu ni Rais wa nchi...

Unataka kutuaminisha nini hapa? Nani kakuambia hao ni mawaziri wa wilayani kwenu Iramba tu? Unataka wana Iramba wawape mashinikizo mawaziri hawa waanze kutenda kinyume cha maadili ya utumishi wao...??

Mnataka watumie madaraka yao ya uwaziri vibaya kufanya upendeleo wa maeneo watokayo siyo..????

Kama mnataka wawapendelee nyinyi kwa kutumia pesa zao za mifukoni (mishahara na posho zao), hayo ongeeni nao huko sirini kwenye vikao vyenu vya kifamilia, msiyalete hapa. Hapa tunajadili national matters...!!

Kumbuka hili; Hao ni mawaziri ktk sekta zao kwa ajili ya Tanzania nzima sio kwa ajili ya Iramba yenu tu. Msilete mashinikizo ya kuwafanya waanze kutumia madaraka yao vibaya...kupendelea maeneo watokayo. Ni DHAMBI na ni MBAYA SANA..!!!

So, please stop this nonsenses...

Kama mnataka maendeleo, fanyeni kazi kwa bidii, kuweni na mipango mizuri kupitia serikali zenu za mitaà. Kisha subiri mgawanyo wa fungi lenu la fedha za maendeleo saw a sawa na wengine toka serikali kuu kwa ajili ya wote...
 
Mtu Kawa wewe ni aina ya wale watu walioaminishwa kuwa usichague mbunge wa upande fulani kwa sababu anakucheleweshea maendeleo bila kujua kuwa mleta maendeleo kwenye majimbo kwa asilimia zaidi ya tisini ni serekali na sio mbunge. Jamani tujifunze kutofautisha majukumu ya mbunge/ wabunge na serekali.
Well said
 
Prof. Kitila Mkumbo kwa Mwaka 2025 nina uhakika hana lake Jimbo la Ubungo.

Mwaka 2020 aliingizwa kibabe na hangeshinda. Dr. Dorothy Gwajima - Mnyiramba wa Tarafa ya Shelui naye anaonesha kunogewa na siasa - hakika atagombea Jimbo la Iramba. Dr. Mwigulu Nchemba (Mamba Kinani) ameendelea kujiamini na kujijenga katika siasa za Kitaifa kwa sababu Jimboni hana tena mpinzani.

Wabunge wa kweli Iramba hawataki siasa wapo kimya - sio kuwa wana hofu lakini pia wamevaa utashi wa dhati ya mioyo yao. Hawataki mgawanyiko.

Sasa hawa wabunge ambao wote ni Mawaziri kuna maendeleo yeyote wanaweza kujivunia kuiletea Iramba? Prof. atasema ooooohhhh yeye ni wa Ubungo lakini tunajua moyo wake upo Iramba ila kiwiliwili ndiyo kipo Ubungo. Hakika imeshapita miezi saba sasa tangu hawa watu waingine uongozini lakini hamna chochote ambacho angalau kinaonesha nia njema waliyonayo kwa Iramba.

Dkt Mwigulu anataka ifike 2023 ndiyo aanza kuchacharika kuwahadaa wananchi. Prof. Kitila vipi mbona wakati hujawa Waziri Jimbo la Iramba ndiyo ilikuwa mahali pako pa kutalii?

Imekuwaje tangu upate ubunge wa kupachikwa na Mwendazake Ubungo na Uwaziri huo huku Iramba umepashit kabisa! Tukueleweje? Au ndiyo ulitaka tu kututumia kama ngazi? Hauna tofauti na Dkt Mwigulu!

Dr. Dorothy Gwajima nina uhakika ukipunguza mbwembwe kidogo tu 2025 unachukua hili Jimbo. Ninakufahamu vizuri na wewe ninajua unanifahamu vema ukisoma tu hapa utajua ni nani kaandika. Njoo mwka 2025 Iramba inakuhitaji - ili ufanikiwe anza mapema - kama ambavyo uliibadili Hospitali ya Wilaya yetu ikawa ya viwango wakati upo kama incharge hapa nina uhakika wewe una cha kujivunia Iramba kuliko hata Dkt. Mwigulu. Anza sasa - weka mipango murua na ufanyie kazi ili Jimbo hili liwe lako mwaka 2025 tuachane na hao wenzio wenye ndoto za URais kila kukicha.

Ninawashauri wote - kama mtaendelea kuwa kimya bila kuiongelea Iramba hakika mkianza mwaka 2023 tutajua fika mnaanza kujipendekeza ili mkubalike 2025. Sisi tunataka muanze sasa, mgombane sasa kwa kuoneana wivu huyu kaahidi hiki, yule kaahidi kile, huyu kaleta kile, yule kawaleta wadau wa maendeleo wale.

Anzeni kugombania nafasi mapema ili jimbo letu lichangamke! Acheni kuogopana nyie Wanyiramba!
Watu bwana..! Wangefanya mngeanza kulalama oohh wanapendelea kwao, kama ilivyokua kwa Chato Town.
Kumbukeni wao ni mawaziri wa Tanzania yote, na kama hali ni kama ulivyosema basi wao ni viongozi smart sana
 
Charity begins at home bhana! Mhhh ila wa Chato alizidi - akataka hadi iwe Mkoa!? Sisi tunataka tu aongeze idadi ya punda!
 
Ni kweli - lakini unajua kuwa Serikali ni watu? na watu wenyewe ndiyo sisi? Mimi, wewe, mbunge, Waziri na hata Rais - lakini tumewapa baadhi yetu watuongoze! Wabunge wanatuongoza ili tujipatie maendelao! So sio vibaya kuwategemea!
Ni sawa wabunge wamepewa dhamana ili watuongoze lakini pia lazima ujue majukumu ya wabunge ni yapi? Hv mbunge wako anapata wapi pesa ya kukuletea umeme, maji, kiwanda, Barabara kama sio serekali. Hata kama mbunge ananafasi lkn ni ndogo sana. Tulalamikie serekali kudai maendeleo ila pia tuhimize wabunge kuisimamia serekali kwa mujibu wa Sheria ili kuweka usawa kuleta maendeleo ya mikoa yetu kwa usawa. Nafikiri uliona utawala uliopita ulivyoweza kufanya maendeleo eneo fulani kulinganisha na mengine kwa sababu ndio alikua kiongozi wa serekali ila wakuisimamia serekali walikaa kimya kuisimamia serekali ipasavyo ndio maana utaona wengine sasahv wanahoji hiyo miradi as if hawakuwa bungeni
 
Umenena vema. Ninafikiri mbunge kazi yake pia ni kuonesha wapi apanahitaji nini? Na anapaswa aanzie jimboni kwake. Hivi kama hamna mtu wa kukusemea say unataka maji, barabara nzuri, shule, dispensary n.k. unafikiri Serikali itaona yenyewe?
 
Ni sawa wabunge wamepewa dhamana ili watuongoze lakini pia lazima ujue majukumu ya wabunge ni yapi? Hv mbunge wako anapata wapi pesa ya kukuletea umeme, maji, kiwanda, Barabara kama sio serekali. Hata kama mbunge ananafasi lkn ni ndogo sana. Tulalamikie serekali kudai maendeleo ila pia tuhimize wabunge kuisimamia serekali kwa mujibu wa Sheria ili kuweka usawa kuleta maendeleo ya mikoa yetu kwa usawa. Nafikiri uliona utawala uliopita ulivyoweza kufanya maendeleo eneo fulani kulinganisha na mengine kwa sababu ndio alikua kiongozi wa serekali ila wakuisimamia serekali walikaa kimya kuisimamia serekali ipasavyo ndio maana utaona wengine sasahv wanahoji hiyo miradi as if hawakuwa bungeni
Mwigulu siyo mbunge tu pia ni waziri wa fedha mkuu
 
Kwa maana hiyo ana influence kubwa sana kwa jimbo letu kupiga hatua. Anaweza fanya tu kama Mwendazake alivyofanya Chato isipokuwa yeye sio lazima aanzishe mbuga ya wanyama au kujenga uwanja wa ndege. Kuna mengi anaweza kuyafanya na matokeo yake akaweka legacy - kwa sasa hana legacy yeyote!
 
Back
Top Bottom