Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Kama kuna jambo ambalo ni kero na kinyongo kwa CHADEMA ni kitendo cha Mama Lishe na Wamachinga kuwapuuza.
Tamaa ya pesa baada uchaguzi wa mwaka 2015 iliwapa kichaa, wakawekeza kwa mabwanyenye wakati CCM wakirekebisha makosa na kujuika na wamachinga,mama lishe nk.
Ilifika wakati CHADEMA walipoona mambo yanaenda ndivyo sivyo walisema "tunaenda kushtaki kwa wananchi" lakini sasa imekuwa kinyume.Wanategemea akina Amsterdam sio wananchi tena.
Kumekuwa na kinyongo cha wazi kwa viongozi na wafuasi wa CHADEMA dhidi ya Wafanyabiashara ndogo ndogo.Siku hizi sio ajabu kukuta viongozi na wafuasi wa CHADEMA wakimtetea Seth au Manji kwa ujira mdogo tu ilimradi mkono uende kinywani.
Nimalize kwa kusema "ajizi nyumba ya njaa".