Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar mwaka 1964 tumekuwa tunatawaliwa na Watanganyika na kupangiwa nani awe Rais wa Zanzibar kwa kupitia vikao vya CCM Dodoma, hata huyo Mzee Mwinyi hakuwa mzanzibar mwenzetu ila ni mlowezi toka kisawawe pwani huko Tanganyika.
Kwa kudra za Mwenyezi Mungu subaana huwataala sasa ametupatia Rais wa Muungano Mama Yetu kipenzi Samia S. Hassan na ndio imekuwa kwa mara ya kwanza na sisi wa Zanzibar tunaitawala Tanganyika.
Kwa mapendekezo na maoni tuu aachana na mambo ya dodoma na kuja kuiendeleza Unguja yetu kwa kujenga ikulu kubwa kama ya Dodoma, Chuo Kikuu kikubwa kuliko hata Udom, hospital ya Rufaa kubwa tuu kuliko hata Muhimbili, chanzo kikubwa cha umeme huku kwetu kuliko hata Mwl Nyerere Rufiji kuondokana na utegemezi wa umeme toka bara Kiwanja cha Ndege kikubwa tuu kama JNIA, barabara na miundombinu mingi mizuri, kuwavutia wawekezaji zaidi kwa upande wetu huku ili kukuza uchumi na kutengeneza ajira za uhakika kwa vijana wetu huku visiwani.
Hutalaumiwa kamwe na atakayekuuliza tutamjibu kwa hoja kwa nini hawakuhoji wakati mwendazake akifanya hayo huko bara especially "Chato"
ZANZIBAR HOYEEE ! Na kazi iendelee na Ihamie Zanzibar kwa maendeleo ya wazanzibar!!!!!