Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,326
- 8,239
Ilitakiwa iwe hivi.
Uwaziri uwe ni kazi ya utumishi, mtanzania mwenye elimu ya juu inayoendana na hiyo wizara, mwenye uzoefu na mwenye sifa za kuongoza wizara hiyo atume maombi kuomba kazi ya uwaziri.
Kwani mbunge kuwa waziri unamfanya kuwa na vyeo viwili hiyo ni poor allocation of employment opportunities.
Nchi hii sasa imeshakuwa na idadi kubwa ya watu. Kumpa mtu vyeo viwili kwakweli ukiangalia kwa mapana sio sawa.
Karibuni kutaja mengine mbali na hili.