Kutengeneza kizazi kipya cha uongozi ni jambo muhimu, ila Baraza la Mawaziri liangaliwe upya

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Tulizoea toka enzi ya Nyerere mawaziri walikuwa wanadumu kipindi kirefu utadhani hakukuwa na watanzania wengine wenye uwezo wa kufanyakazi

Tunaweza sema alikuwa anaweka misingi imara ya nchi ktk nyanja mbali mbali hivyo ilimfaa kufanyakazi na wazoefu.

Kwasasa nchi imekua, technology imekuwa hivyo hakuna sababu ya kuwa na walewale kila mwaka na Kila awamu.

Tulikwisha sema humu, hakupaswa kuwaweka watu walewale awamu iliyopita kwakuwa wapo waliopandikizwa roho mbaya ya uongozi uliopita
Kumuweka Mwigulu nchemba wizara nyeti ya fedha, ni kuwafanya watanzani kubeba mzigo mzito Kama awmu ya tano

Tumeona makodi yasiyo kichwa Wala miguu, Hana huruma na watanzania, huyu ni mmoja ya watetea legacy hakufaa kuwa pale

Katina na Sheria hakufaa huyu aliyepo.

Rais aangalie upya wizara hizi mbili
 
Mama amenza kubadilisha taratibu
 
Back
Top Bottom