kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,000
- 17,909
Lile genge maarufu lililoibukia tokea tarehe 09/03 baada ya fudenge kupiga kapu teke bado lingali lina nguvu.
Ni jana tu wametoka kufanya kikao cha siri, hawa ni watu hatari sana kwa taifa letu hawa wanataka kutuletea ukabila na ukanda na kutaka utukuzwe maana kuna mbegu ilikua ishapandwa na bwana mmoja hivi ambaye kwasasa yupo gizani huko anapata mateso makali.
Kiukweli hili genge ndo wanamiliki na kufadhili na kujaza watu ambao humu kazi yao ni kumkosoa na kumshushia heshima rais wetu kipenzi cha mioyo yetu mheshimiwa mama Samia Suluhu.
Cha kusikitisha wanawalipa hadi watu huko instagram na fb ili waendelee kumkosoa na kumuhujumu mama kwa kila hali.
Mfano mdogo tu, wamefanikiwa kuwashawishi baadhi ya watu maarufu kutokea kanda fulani hivi kwa kuwabrainwash na kuwajaza ujinga kwamba wanatakiwa wapambane wao wahakikishe wanaendeleza ajenda zao chafu hadi humu JF wapo sampo zao kama yule baby wa Kimarekani.
Nataka niwahakikishie ndugu zangu kwamba hilo genge wanajichosha tu na wamecherewa kweri kweri yaani maana tz sio rwanda au burundi ambapo uhutu na utusi umegawa watu hii ni nchi ya watu kutoka makabila 120 yanayoishi kwa pamoja kwa upendo.
Hatutoruhusu nchi igawanywe kwa misingi ya ukabila na ukanda kwa kwa kisingizio cha kulinda legacy za kipumbavu na za kipuuzi ambazo ni legacy zilizokufa na kuoza na legacy ambazo zinanuka shombo la ukabila na tena ambazo output yake ni white elephant.
Nawapa salamu hilo genge tu kwamba nchi yetu tutailinda kwa gharama zozote iwe uhai au kifo ni jukumu la kila mtu kulinda uhai wa taifa ni niwaambie nyie genge kwamba iwe ni masika au kiangazi tutaumana nanyinyi hadi kieleweke tutapambana nanyi hadi anguko lenu lifike rasmi miaka minne ijayo huku tukilinda sheria kanuni na taratibu za nchi huku tukiuhami utaifa, na uzalendo katika kufutilia mbali hicho kigenge chenu cha kikabila na cha kihuni.