Uchaguzi wa 2020, Kukumbuka shuka kumekucha, is it too little too late kwa CHADEMA or better late than never?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,443
113,452
Wanabodi,

Unapotoa ushauri fulani ukapuuzwa, katika ushauri huo ukashauri the right thing to do na matokeo ya kutofuatwa kwa ushauri huo, halafu baada ya kupata matokeo, sasa ndio wanaamka, wanakumbuka shuka kumekucha, na sasa ndio kuanza kujipanga, japo ni kwa kuchelewa lakini ile kujitambua tuu pekee, inastahili pongezi, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Chadema, the input ya JJ.MNYIKA inakwenda kuonekana.

Nimemuona Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe akitembelea jimbo lake na kuhutubia, japo ni kweli kabisa kwa Tanzania, kitendo cha Wenyeviti wa vyama vingine vyote wakizuiliwa kuhutubia wanachama wao national wide, kufuatia ile marufuku batili ya shughuli za kisiasa national wide, wakati ni Mwenyekiti wa chama kimoja tuu, akizunguka nchi nzima na kulihutubia taifa mubashara kwa ile kofia yake nyingine, lakini wabunge wote waliruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara kwenye majimbo yao throughout a year, walikuwa wapi siku zote, hadi huu mwaka wa uchaguzi ndio tunawaona wakipishana majimboni, isn't this too little too late, or just better late than never, bora chelewa ufike?.

Jana nimesoma, mkakati wa JJ.Mnyika kuandaa ilani mzuri ya Uchaguzi wa 2020.

John Mnyika, Kibadili chama kutoka chama lalamishi na andaa ilani iliyobebwa na ajenda zenye maslahi kwa watu

This is a good, hatimaye Chadema sasa imeanza kusikia, ingekuwa inasikia tangu enzi zile, saa hizi Chadema zamani ingekuwa Ikulu.
Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Watu tumeanza kuishauri Chadema tangu 2010...
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

Tukashauri
CHADEMA MUST now Reform and Restructure!

Tukashauri
Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko Shari Kamili! - Kuepusha Shari, Kubalini Kosa!

Tukashauri
Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

Tukashauri
CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!

Tukashauri
CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!

Tukashauri
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?!

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Hatimaye sasa ndio Chadema inasikia japo kwa kukumbuka shuka kumekucha, Chadema inastahili pongezi za dhati, swali linabaki will this help kwa uchaguzi wa 2020?, or it's too little too late?.

Kwa wenzetu wa ibada nawatakia Ijumaa Kareem Njema,
Kwa sisi wengine, nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
 
Chadema wametumia muda mwingi kubishana na matendo ya serikali JPM, muda mwingi kuwa mahakamani na kufanya kazi kama asasi ya kiraia, badala ya chama cha siasa. Wakasahu kujipanga kwa uchaguzi mkuu, kwa mtazamo wangu sioni mtu anayefaa kuwa mgombea urais kupitia CDM mpaka sasa. Naamini toka Jan 2019 ilibidi watanzania wawe wanamfahamu mgombea urais kupitia CDM. Bado miezi 7 tu.
 
Paskali wewe ulikuwa nje ya Nchi, Miaka 5 figisufigisu walizokutana nazo Chadema kingekuwa hakipo tena,

Lakini nikuambie Kitu mkuu,Upinzani wa dhati upo ndani ya mioyo ya watu,

Sisi ndiyo wapiga Kura,hata wabunge wote wa Chadema waende kuunga mkono juhudi ,tutachagua wengine toka Upinzani.
Kitu ambacho hatutaki kusikia ni neno CCM,chama kinachotegemea nguvu ya dola kusalia Madarakani hicho hakitufai.
 
Kuna haja gani kubandika manyuzi ya nyuma? Unakera msukuma acha misifa
Wanabodi,

Unapotoa ushauri fulani ukapuuzwa, katika ushauri huo ukashauri the right thing to do na matokeo ya kutofuatwa kwa ushauri huo, halafu baada ya kupata matokeo, sasa ndio wanaamka, wanakumbuka shuka kumekucha, na sasa ndio kuanza kujipanga, japo ni kwa kuchelewa lakini ile kujitambua tuu pekee, inastahili pongezi, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Chadema, the input ya JJ.MNYIKA inakwenda kuonekana.

Nimemuona Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe akitembelea jimbo lake na kuhutubia, japo ni kweli kabisa kwa Tanzania, kitendo cha Wenyeviti wa vyama vingine vyote wakizuiliwa kuhutubia wanachama wao national wide, kufuatia ile marufuku batili ya shughuli za kisiasa national wide, wakati ni Mwenyekiti wa chama kimoja tuu, akizunguka nchi nzima na kulihutubia taifa mubashara kwa ile kofia yake nyingine, lakini wabunge wote waliruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara kwenye majimbo yao throughout a year, walikuwa wapi siku zote, hadi huu mwaka wa uchaguzi ndio tunawaona wakipishana majimboni, isn't this too little too late, or just better late than never, bora chelewa ufike?.

Jana nimesoma, mkakati wa JJ.Mnyika kuandaa ilani mzuri ya Uchaguzi wa 2020.

John Mnyika, Kibadili chama kutoka chama lalamishi na andaa ilani iliyobebwa na ajenda zenye maslahi kwa watu

This is a good, hatimaye Chadema sasa imeanza kusikia, ingekuwa inasikia tangu enzi zile, saa hizi Chadema zamani ingekuwa Ikulu.
Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Watu tumeanza kuishauri Chadema tangu 2010...
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

Tukashauri
CHADEMA MUST now Reform and Restructure!

Tukashauri
Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko Shari Kamili! - Kuepusha Shari, Kubalini Kosa!

Tukashauri
Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

Tukashauri
CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!

Tukashauri
CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!

Tukashauri
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?!

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Hatimaye sasa ndio Chadema inasikia japo kwa kukumbuka shuka kumekucha, Chadema inastahili pongezi za dhati, swali linabaki will this help kwa uchaguzi wa 2020?, or it's too little too late?.

Kwa wenzetu wa ibada nawatakia Ijumaa Kareem Njema,
Kwa sisi wengine, nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa ni mnafiki kwani huoni hao wa bunge wa upinzani kila leo wakizuiwa au kukamatwa wakiwa majimboni kwao.
 
Wanabodi
Ninachoamini sio vyama vya upinzani, asasi za kiraia wala wananchi wanaojua mtindo na mwelekeo wa siasa za nchi katika utendaji nje ya uchaguzi.

Mpaka sasa inaonekana Tz tulitaka vyama vingi vya siasa katika chaguzi lkn sio katika utendaji kamili baada ya uchaguzi.

2010 baada ya uchaguzi wapinzani waligundua shida ni Tume ya uchaguzi ila hoja ikabadilika kuwa Katiba bahati mbaya yote yakashindwa na trend ya siasa angalau ilikuwa vizur lkn baada ya 2015 ni kutapatapa ajenda muhimu inakuja januari 2020 huko ni kukosa maono
Leo wanawaza ilani nawakati wanasera mbadala pia asasi tayari wana ilani yaani wanajua nini nchi inataka na kipi kimemis kati ya wananchi.

Ajenda ya katiba ilisaidia CCM kuchukiwa 2014-2015 lkn tulikwenda bila plan kila kitu wapinzani wanataka counter attack.

Nawashauri wanajamvi tuache huu uchaguzi upite, sasa tusndae wa 2025 labda tutapata wengi msichokiona katika utendaji wa siasa baada ya uchaguz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

, kufuatia ile marufuku batili ya shughuli za kisiasa national wide, wakati ni Mwenyekiti wa chama kimoja tuu, akizunguka nchi nzima na kulihutubia taifa mubashara kwa ile kofia yake nyingine,

Paskali
Mkuu Pascal Mayalla, siongezi kitu bali ninaonyesha jibu la hoja yako ambalo unalo mwenywe kwenye andiko lako. Hilo hapo juu na naliwekea bold and italics hapa chini;

"kufuatia ile marufuku batili ya shughuli za kisiasa national wide, wakati ni Mwenyekiti wa chama kimoja tuu, akizunguka nchi nzima na kulihutubia taifa mubashara kwa ile kofia yake nyingine",
 
Acha upotoshaji maana haikusaidii!Miaka yote CDM inakuwa na sera zake!Na mbona zimetolewa mara nyingi tu,nakumbuka hata mwaka juzi kama sio jana zilitolewa na media mbalimbali za CDM ikaziwasilisha!
Huu ni muendelezo wako wa kuinanga CDM,acha unafiki!
 
Hawajui utendaji baada ya uchaguz,
We jamaa ni mnafiki kwani huoni hao wa bunge wa upinzani kila leo wakizuiwa au kukamatwa wakiwa majimboni kwao.
Je mkutano wa hadhara ndio suala pekee la mbunge katika kuwafikia wananchi wake?
Hawajui kula na mwenye njaa.

Siasa kiutendaji inapangiliwa kwa kuangalia ni zipi nguvu zako kulinganisha na vikwazo ulivyonavyo mbele ukiwa tayari na destination mkononi mwako.

Iangalie Chadema utaiona haina plan zaidi ya kesema tunataka Madaraka ambayo kimsingi yatawashinda kuendesha nchi au watachochea kuvuruga nchi na hapo ndipo tutaona siasa kiutendaji baada ya uchaguzi huku nyuma ilitakiwa iipangilie nchi itawalike na yeyote hata kama atakuwa mwendawazimu lkn itawalike kisheria, yanawezeka bila kubadili katiba yote ila tukaanza na pale nyerere alipoanzia mwaka 1992

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom