Hii inafikirisha sana. Hivi inawezekanaje jambo hili.
Kwamba nchi nzima watu wenye uwezo kuongoza wanatoka au kukaa Dar pekee.
Pia uteuzi umeshindwa kubalance makundi ya kijamii. Tunajua haiwezi kuwa balanced 100% lakini je haya makundi yatawakilishwa na nani maana ndio proportion kubwa ya wananchi mathalani:
1. Walimu
2. Wakulima
3. Wafugaji
4. Wafanyabishara