Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari Tanzania! Leo najisikia raha kwa kumkumbuka aliyewahi kuwa mwenyekiti wa DP ndugu, Mtikila. Alipenda sana na kuweka mkazo chanya juu ya kuhitaji uwepo wa watahiniwa binafsi katika ngazi za...
2 Reactions
2 Replies
810 Views
USHAURI NA MAONI YANGU KUHUSU BANDARI YA BAGAMOYO. Ilikuwa Octoba 21 katika taarifa ya habari ya Channel Ten nilimsikia Mgombea Urais wa Ukawa,Mh Edward Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
YALIYOJIRI KONGAMANO LA WATUMISHI WA MUNGU KUMWOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU 100 ZA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MADARAKANI KUONGOZA NCHI YA TANZANIA Kongamano lilianzia kwa...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwenye jamii yoyote ile iliyostaarabika ni lazima kuwe na utaratibu wa kuwaongoza watu. Huu utaratibu ni muhimu ukakubalika na makundi yote katika jamii hii na hapa ndio katiba hutungwa. Wengi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mods Moderator naomba msiunganishe huu uzi🙏 Tumshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli kwa nchi yetu. Ametutoa pagumu sana, ametuthubitishia yaliyoambiwa...
18 Reactions
117 Replies
14K Views
Haiingii akilini kutangazwa MTU kapita bila kupingwa. Kila uchaguzi iwepo kanuni ya uwepo wa mgombea zaidi ya mmoja hata kama ni chama kimoja endapo vyama vingine havisimamishi kwasababu mbalimbali.
1 Reactions
2 Replies
972 Views
BADO MAMA SAMIA SULUHU, HAJAINGIA KWENYE 18 ZANGU. Na, Robert Heriel Tangu Rais Samia alipoingia kwenye utawala, watu wengi wamekuwa wakihitaji maoni yangu juu ya utendaji kazi wake. Wengi...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Tunaomba radhi, tulipotoshwa na watu wenye chuki zao kwa sababu za kisiasa. Kenya wamemaliza Lamu, sisi bado, tinaomba radhi sana maana tulifanya haya mambo kwa kulipwa matokeo yake tukakwamisha...
12 Reactions
39 Replies
3K Views
Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili Awamu ya Pili au la. Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu...
20 Reactions
216 Replies
24K Views
Msingi wa Rasimu ya Katiba ni muundo wa Muungano. Wabunge wakikataa muundo wa muungano unaopendekezwa Rasimu hii inakufa kwa sababu karibu ibara zingine zote zimewekwa kwa kuzingatia muundo huu wa...
7 Reactions
17 Replies
4K Views
Wanajamvi kumekuwa na Sintofahamu kubwa sana kwenye upandishaji Madaraja na Ubadilishwaji Mishahara toka Rais atoe Tamko maeneo mengi nchini ingawa kwa Mkoa wa Dar es salaam Malalamiko na...
3 Reactions
9 Replies
45K Views
Swali kwa Job: Kwani Wanahabari ni Wabunge mpaka uwapeleke kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge? Ushauri wangu ni: Job soma kanuni ya 2 ya Kanuni za Bunge. Kanuni zenu zinatumika kuendesha Bunge na...
25 Reactions
97 Replies
9K Views
Hata kama CHADEMA wanaitaka Katiba mpya ili waweze kushiriki uchaguzi wenye ushindani halali bado katiba mpya ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu. Katiba ya sasa ina mapungufu mengi sana...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa...
11 Reactions
170 Replies
13K Views
Rais Samia Suluhu Hassan, natumaini unapata wasaa wa kupitia pitia mitandaoni kusoma maoni ya sisi watu wako. Ninakushi endelea na utaratibu huu kwa sababu una manufaa mengi sana kwa Taifa letu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
KASI NA ARI YA UTENDAJI WA RAIS DR JOHN MAGUFULI NDIO MTOA ROHO WA CHADEMA, CUF NA ACT. Leo 13:15pm,31/03/2019. Hivi sasa wana Chadema na ACT wanavizia Boeing ikiwa imepark wanaipiga picha na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkurugenzi mtendaji wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inafanyia utafiti dawa 7 za Kitanzania zikiwemo 4 za kufukiza kama zinatibu Covid 19. Utafiti wa dawa hizo za asili ambazo...
10 Reactions
165 Replies
13K Views
napenda nieleweke wazi kabisa, ushauri wako unayesoma hii utanisaidia mawazo ya mwisho mwisho kuhusu azma yangu. nataka kwenda mahakamani kufungua kesi dhidi ya mheshimiwa mudhihir wa mudhihir...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…