Kwanini Wanachadema wanalamikia teuzi za Wakuu wa Wilaya?

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,627
2,000
Wanabodi,

Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.

Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.

Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.

Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.

Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
41,719

Kweli ww ni bonge la kilaza, naona umejibu kwenye nyuzi kule umeona haitoshi, umeamua kuanzisha uzi kabisa kuweka hasira zako wazi. Hao maDC wametangazwa jana, hivyo leo ndio habari kuu, je ni wapi hoja ya katiba mpya imesimama kisa kuna maDC wametangazwa?
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
48,484
2,000
Ukiona hivyo ujue wakina MANKA, MUSHI, MAMASSAWE HAWAJAWAONA.

Mama alichofanya ni kutumia tofali lile lile alilotumia lema kumpiga Mwigamba kichwani na kazimia na yeye katumia tofali lile kuwapiga chadema kichwani na sasa wana tapatapa kabla ya kuzimia rasmi.
Wamepigwa na kitu kizito kichwani
Kama unaamini chadema wamepigwa na kitu kizito kichwani gonga like au coment kwa kusema hiiiiiiiiii
 
Wewe niite upendavyo ulivyokuwa punguani hautaki niazishe uzi? JF siyo mali ya Chadema ni jukwaa huru.
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,627
2,000
Ukiona hivyo ujue wakina MANKA, MUSHI, MAMASSAWE HAWAJAWAONA.

Mama alichofanya ni kutumia tofali lile lile alilotumia lema kumpiga Mwigamba kichwani na kazimia na yeye katumia tofali lile kuwapiga chadema kichwani na sasa wana tapatapa kabla ya kuzimia rasmi.
Wamepigwa na kitu kizito kichwani
Kama unaamini chadema wamepigwa na kitu kizito kichwani gonga like au coment kwa kusema hiiiiiiiiii
Hamna namna wanabidi wavumilie tu.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
10,637
2,000
Wanabodi,

Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.

Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.

Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.

Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.

Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.

Kwamba?

"Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi."

Kweli JPM = Mama!
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,627
2,000
Pro-Chadema walichoumia ni wale wafuasi wao wa zamani kupewa vyeo hamna lingine.
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,066
2,000
Wanabodi,

Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.

Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.

Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.

Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.

Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
Mkuu mimi malalamiko yangu ni kuwa nimeteuliwa na sitaki kwanza nashangaa jina langu limefikaje fikaje huko mboga mboga. Kumuunga Samia nkono ni kutokana na ukweli kuwa tulikuwa tumezamishwa topeni na mama anaonekana kutukwamua tena imetokea kama muujiza ila siyo kuomba hivi vyeo vyake!
 
Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
3,589
2,000
... kwa asilimia kubwa walalamishi ni maCCM yaliyosaidia kuiba uchaguzi uliopita, wengi wao watumishi wa umma, ... ati wanalalamikia mama kuokoteza ...! TUMBAFU KABISA!
🤮 🤮 🤮 💥
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
11,576
2,000
Wanabodi,

Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.

Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.

Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.

Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.

Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
............vile vile karibu wateule wote wa Magufuli wamo ndani.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,285

Mzee umerudi tena kwa ile ID yako nyingine baada ya utawala wa ''makafiri'' kuondoka? Karibu sana kwani namna Magufuli alikuwa ametubana wengi.
 
nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,317
2,000
Wanabodi,

Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.

Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.

Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.

Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.

Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.
Kama chadema wapo huru kitangaza mikutano nchi nzima, na wewe umepata fulsa Sasa ya kutuhariba vijana wetu na madawa ya kulevya maana mmerudi kwa mlango was nyuma
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,285
2,000
Pro-Chadema walichoumia ni wale wafuasi wao wa zamani kupewa vyeo hamna lingine.
Rais alisema nia yake ni kuwapa ''vijana wa Tanzania'' nafasi za uongozi. Uteuzi umeonyesha kuwa kinachoitwa ''vijana wa Tanzania'' ni ''wajanja'' wachache wanaozuga mjini! Hivi huko vijijini hakuna vijana wenye uwezo wa uongozi? Kwa nini iwe lazima kuteua ''wajanja'' wanaozuga mjini na kuwadharau wa vijijini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom