Tukumbushane kidogo kauli za kujikinai na kiburi cha uzima zilizo tolewa na viongozi Wa awamu ya tano

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Mimi baada ya kuchekecha nimeona hii kauli iliyo tolewa na bwana yule kule Bukoba baada ya watu kupata maafa ya tetemeko wakiomba msaada yeye akiwajibu kijeuri akisema hivi
"Kwani Mimi ndio nimeleta tetemeko " itatuwa kauli ya hovyo zaidi kuwahi kutolewa na kiongozi duniani na hata huko kuzimu.

Sijui wewe unaona kauli ipi inafaa kuwa ya hovyo zaidi ulizo wahi zisikia .
 
Mataga, "Hata akivunja Katiba ni sawa tu mradi tunapata maendeleo." Yaani msingi wa nyumba ivunjwe halafu nyumba ibaki salama!
Msingi wa nyumba siyo katiba, ni zege, nondo na mawe, wewe mshikipwani wa bara!!!
 
Na ile Jiwe alivyokuwa mbunge kule kwao wafadhili kutoka Canada walitembelea jimbo lake na yeye akawa mtafsiri wao kwa wananchi. Walipomaliza kuwahutubia wacanada wakawaaga BYE BYE. Jiwe akawatafsia NUNUA NUNUA!
Hahahaha yereeeuuuuu yesu na maria utanivunja mbavu mnama.
 
Back
Top Bottom