Kada CHADEMA nusura ajiue kisa Nassari na Lijuakali kuteuliwa DC

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,173
2,000
Ndugu zangu,

Inaripotiwa kuwa jijini Arusha kada maarufu wa Chadema John Mushi almaarufu "kadogoo" usiku wa kuamkia jumatatu tarehe 21 June, 2021 nusura ajiue kwa sumu baada ya waliokuwa wabunge wa Chadema Joshua Nassari na Lijuakali kuteuliwa U-DC.

Baada ya kuzinduka akihojiwa na Mwenyekiti serikali ya mtaa Ndg. Motika, kijana huyo anayeishi maeneo ya Suye ameeleza kukerwa kuona akina Nassari na Lijuakali wakiteuliwa kuwa wakuu wa wilaya na Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan. Kadogoo akiongea kwa unyonge amesema kuwa "siamini kama Nassari na Lijuakali leo ni ma-DC, kwa sasa baada ya kunusurika kifo nitajikita na kutafuta maisha,nimepoteza mali zangu kwa ushabiki wa siasa"

My take;
Kuna fundisho kwa vijana wa Chadema, wengi wanaingia kushabikia siasa jumla jumla. Kuna mwingine mwaka 2015 alijikata kidole baada ya EL kukosa urais. Wengi leo wapo hohehahe kwa ushabiki wa kijinga.
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
4,613
2,000
Ndugu zangu,

Inaripotiwa kuwa jijini Arusha kada maarufu wa Chadema John Mushi almaarufu "kadogoo" usiku wa kuamkia jumatatu tarehe 21 June,2021 nusura ajiue kwa sumu baada ya waliokuwa wabunge wa Chadema Joshua Nassari na Lijuakali kuteuliwa U-DC.

Baada ya kuzinduka akihojiwa na Mwenyekiti serikali ya mtaa Ndg.Motika,kijana huyo anayeishi maeneo ya Suye ameeleza kukerwa kuona akina Nassari na Lijuakali wakiteuliwa kuwa wakuu wa wilaya na Rais wa JMT Mh.Samia Suluhu Hassan. Kadogoo akiongea kwa unyonge amesema kuwa "siamini kama Nassari na Lijuakali leo ni ma-DC, kwa sasa baada ya kunusurika kifo nitajikita na kutafuta maisha,nimepoteza mali zangu kwa ushabiki wa siasa"

My take;
Kuna fundisho kwa vijana wa Chadema,wengi wanaingia kushabikia siasa jumla jumla. Kuna mwingine mwaka 2015 alijikata kidole baada ya EL kukosa urais.Wengi leo wapo hohehahe kwa ushabiki wa kijinga.
Umeachika kwa mume wako lini?
 
Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
3,879

Unafaidika nini kwa kufunga story ya kipuuzi namna hii?
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
846
1,000
Siku wakiteuliwa Lisu kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, Sugu waziri wa michezo na Mbowe mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro watakuja kivingine kupongeza teuzi za raisi.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
53,593
2,000
Matokeo ya Kisiasa yanataka Moyo Sana vijana wa CCM tulieni au hamieni Upinzani.....

Moses Machali, DC
David Kafulila, RC
Mwita Waitara, Naibu Waziri
Joshua Nassari, DC
Fakii Lulandala, DC
Julius Mtatiro, DC
Albert Msando, DC
David Silinde, Naibu Waziri,
Vincent Mashinji, DC
Mwambe, MB
Gekuli, Naibu Waziri
Juliana Shonza, MB
Patrobasi Katambi, N/W
Lijua Likali, DC
Kitila mkumbo-waziri

UVCCM mnajifunza nini toka kwa Vijana waliojengwa na CHADEMA wakaiponda CCM, Wamechukuliwa kuisaidia CCMπŸ“

NCHI YETU SOTE tufanye Siasa za Hoja na Siyo Vioja na Kuumizana
 
Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
52,673

Sisi Uvccm tunaumia sana na haya mambo, tumetumia muda na mali kukipigania chama lakini leo wanateuliwa watu ambao hata hawajui kirefu cha CCM ni nini, inauma sana.
 
Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
3,879
2,000
huwezi kuamini eti huyu binti alishawahi kuwa naibu waziri wa serikali ya marehemu jiwe 🀣 🀣 🀣
Akili zake kama jiwe tu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ no wonder amefunga story maana hata jiwe alikuwa anatunga data za Kodi, uchumi wa kati, akianza kusimulia kilometers za barabara utadhani kweli kumbe liongo tu, mtu gani analeta dta eti kuna samaki kadhaa ntaja iddi kwenye ziwa nyasa, Victoria πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
10,859
2,000
Ndugu zangu,

Inaripotiwa kuwa jijini Arusha kada maarufu wa Chadema John Mushi almaarufu "kadogoo" usiku wa kuamkia jumatatu tarehe 21 June,2021 nusura ajiue kwa sumu baada ya waliokuwa wabunge wa Chadema Joshua Nassari na Lijuakali kuteuliwa U-DC.

Baada ya kuzinduka akihojiwa na Mwenyekiti serikali ya mtaa Ndg.Motika,kijana huyo anayeishi maeneo ya Suye ameeleza kukerwa kuona akina Nassari na Lijuakali wakiteuliwa kuwa wakuu wa wilaya na Rais wa JMT Mh.Samia Suluhu Hassan. Kadogoo akiongea kwa unyonge amesema kuwa "siamini kama Nassari na Lijuakali leo ni ma-DC, kwa sasa baada ya kunusurika kifo nitajikita na kutafuta maisha,nimepoteza mali zangu kwa ushabiki wa siasa"

My take;
Kuna fundisho kwa vijana wa Chadema,wengi wanaingia kushabikia siasa jumla jumla. Kuna mwingine mwaka 2015 alijikata kidole baada ya EL kukosa urais.Wengi leo wapo hohehahe kwa ushabiki wa kijinga.

Hivi hukujiua wewe alipotwaliwa yule bwana?
 
MRI

Senior Member
Nov 25, 2016
178
250
Kwa sababu mnatunga mnaamini kila mtu anatunga.Jifunze usonge mbele
Bila CHADEMA wasinge pata huo DC maana Kuna WANA CCM wengi na wenye uwezo lakini hawaja chaguliwa.Hata wewe siyo NAIBU WAZIRI TENA na huwezi kuwa tena.Cheo ulichokuwa nacho huenda akapewa HALIMA MDEE stay tuned
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
187,276
2,000
Kubwa kuliko El kuwa mgombea urais,nyalandu kuwa mjumbe kamati kuu. Lowassa kuwa mwenyekiti wa kanda yaan hapa ni both team to score kwa hisani ya Its Pancho na uzi wake wa kuchambua membersπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Matokeo ya Kisiasa yanataka Moyo Sana vijana wa CCM tulieni au hamieni Upinzani.....

Moses Machali, DC
David Kafulila, RC
Mwita Waitara, Naibu Waziri
Joshua Nassari, DC
Fakii Lulandala, DC
Julius Mtatiro, DC
Albert Msando, DC
David Silinde, Naibu Waziri,
Vincent Mashinji, DC
Mwambe, MB
Gekuli, Naibu Waziri
Juliana Shonza, MB
Patrobasi Katambi, N/W
Lijua Likali, DC
Kitila mkumbo-waziri

UVCCM mnajifunza nini toka kwa Vijana waliojengwa na CHADEMA wakaiponda CCM, Wamechukuliwa kuisaidia CCMπŸ“

NCHI YETU SOTE tufanye Siasa za Hoja na Siyo Vioja na Kuumizana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom