Mtozi Nyanda, Wabunge 19 wasio na chama waalike kwenye The Big Agenda tuwasikie

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
MTOZI!

Ni mda muafaka sasa wafuatao waalikwe kwenye kipindi chako ili uwasukumie maswali.
  • Wabunge 19
  • Spika
  • Mahera
  • Waziri wa Sheria
  • Msajili wa Vyama
  • Takukuru
  • Katibu wa Bunge
  • Mwanasheria wa Serikali
Hao watu ni mhimu sana kuwapanga kwenye vipindi vyako vya mijadala. Hata kama unawagwaya
 
..Na upande wa pili awepo Benson Kigaila Naibu Katibu Mkuu Chadema.

..nadhani Nyanda hatakuja amuelike huyu jamii ktk vipindi vyake.
 
Hawataenda wanajua kabisa once wakianza kuingia kwenye media wataatract public inquiry kuhusu legality yao na huo ndio utakuwa mwisho wao.

Wameamua kuwa mute angalia siku hizi wanavyopigwa mawe bungeni na hawajibu kitu maana wanajua wakileta fyoko mkeka utachanika.
 
MTOZI!

Ni mda muafaka sasa wafuatao waalikwe kwenye kipindi chako ili uwasukumie maswali.
  • Wabunge 19
  • Spika
  • Mahera
  • Waziri wa Sheria
  • Msajili wa Vyama
  • Takukuru
  • Katibu wa Bunge
  • Mwanasheria wa Serikali
Hao watu ni mhimu sana kuwapanga kwenye vipindi vyako vya mijadala. Hata kama unawagwaya
Unataka aweke mchanga kwenye kitumbua chake?

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
MTOZI!

Ni mda muafaka sasa wafuatao waalikwe kwenye kipindi chako ili uwasukumie maswali.
  • Wabunge 19
  • Spika
  • Mahera
  • Waziri wa Sheria
  • Msajili wa Vyama
  • Takukuru
  • Katibu wa Bunge
  • Mwanasheria wa Serikali
Hao watu ni mhimu sana kuwapanga kwenye vipindi vyako vya mijadala. Hata kama unawagwaya
Hapana jamaa anajitahidi sn anauliza maswali magumu hata kipindi cha dikteta walijitahidi sn ndiyo maana tangu enzi ya dikteta mpaka leo hakuna mtu yoyote aliyeteuliwa kutoka star tv, kwangu mimi huyu ni mwandishi bora kabisa pamoja na Dotto Bulendu, wengine wote ni wasaka fursa
 
Hawataenda wanajua kabisa once wakianza kuingia kwenye media wataatract public inquiry kuhusu legality yao na huo ndio utakuwa mwisho wao.

Wameamua kuwa mute angalia siku hizi wanavyopigwa mawe bungeni na hawajibu kitu maana wanajua wakileta fyoko mkeka utachanika.
Wanaishi maisha ya kitumwa sn
 
MTOZI!

Ni mda muafaka sasa wafuatao waalikwe kwenye kipindi chako ili uwasukumie maswali.
  • Wabunge 19
  • Spika
  • Mahera
  • Waziri wa Sheria
  • Msajili wa Vyama
  • Takukuru
  • Katibu wa Bunge
  • Mwanasheria wa Serikali
Hao watu ni mhimu sana kuwapanga kwenye vipindi vyako vya mijadala. Hata kama unawagwaya
Hata mh. Rais SSH, atuwekee wazi ile ripoti ya ukaguzi BOT.
 
Mmoja juzi alialikwa akakimbia kwny mkeka bado 18
MTOZI!

Ni mda muafaka sasa wafuatao waalikwe kwenye kipindi chako ili uwasukumie maswali.
  • Wabunge 19
  • Spika
  • Mahera
  • Waziri wa Sheria
  • Msajili wa Vyama
  • Takukuru
  • Katibu wa Bunge
  • Mwanasheria wa Serikali
Hao watu ni mhimu sana kuwapanga kwenye vipindi vyako vya mijadala. Hata kama unawagwaya
 
MTOZI!

Ni mda muafaka sasa wafuatao waalikwe kwenye kipindi chako ili uwasukumie maswali.
  • Wabunge 19
  • Spika
  • Mahera
  • Waziri wa Sheria
  • Msajili wa Vyama
  • Takukuru
  • Katibu wa Bunge
  • Mwanasheria wa Serikali
Hao watu ni mhimu sana kuwapanga kwenye vipindi vyako vya mijadala. Hata kama unawagwaya
Mkuu, nyie CHADEMA mna mambo ya ajabu sana. Mmeambiwa tena na tena - ili suala la akina Mdee lihitimishwe, hitimisheni mchakato wa kuwafukuza uanachama. HAMTAKI kufanya hivyo kwa makusudi. Halafu unataka kipindi cha maana cha Nyanda kipoteze mda kwa kujadili suala kama hili ambalo nyinyi mmeamua liwe ndiyo agenda yenu ya kudumu kwa vile mmeishiwa hoja
 
Waandishi wa habari wetu wanazingua, suala la wabunge 19 wa kubanwa Ni ndugai na tume ya uchaguzi...
 
Wananchi wajibu wa kulinda katiba ni wenu. Msizukumize majukumu kwa wengine. Assad alishasema kama kuna jambo haliko sawa sema,usitake mwingine akusemee
 
Back
Top Bottom