Mimi nimekuwa muumini wa katiba mpya tangu enzi na enzi. Kabla hata JF haijazaliwa.
Niliamini hivyo kwa sababu unapobadili mfumo wa kisiasa, basi ni lazima pia ubadili sheria na taratibu...
Nimeona mabishano yanayoendelea Kati ya Kigogo na Polepole, ukisoma ujumbe wa Polepole ni dhahiri anafurahia kitendo cha ndugu zetu kupoteza maisha, kuparalize na wengine kupoteza kabisa dira...
Moja kwa moja kwenye mada.
Naomba nitoe angalizo kwamba hili sio bandiko la ukabila wala matusi bali ni kumbukizi aliyotuasa mwaliko hapo zamani za kale akiwa hai.
Ndugu zangu hayati mwalimu...
Amani iwe nanyi wadau!
Leo napenda kuongelea kuhusu suala la program aliyoibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kui rebrand nchi yetu na faida ya programu hii kiuchumi huko mbeleni...
HAIWEZEKANI Chama cha Siasa kuibuka na kusema kinataka masuala ambayo yapo kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wanachama waeleze changamoto katika jamii zinatatuliwa kwa njia gani...
Tokea Rais Samia aingie madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Naona kila anachofanya anapata sifa kutoka kwa watu wengi hasa wa upinzani.
Kwa maono yangu hivi anavyofanya mama...
Ni upuuzi kwa Tanzania na dunia kujiaminisha na uvaaji wa barakoa ambazo kimsingi sio barakoa sahihi za kuzuia virusi vya Corona.
Kwa mujibu wa wanasayansi barakoa inayoweza kumzuia kirusi wa...
Kipindi fulani enzi za awamu ya 5 tuliwahi kusikia tetesi kwamba Mama alitaka kujiuzulu. Tetesi zikasema resign hiyo ilizimwa baada ya wazee kuingilia kati kwamba italeta picha mbaya kwa wananchi...
When citizens of Tanzania wanted to hold their leaders accountable in 2015 Tanzanians Election,no body knew that Magufuli was coming,When Bagamoyo dispute raises questions over Chinese business...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ikumbukwe kuwa hayati Magufuli kama mwanafamilia alichangia Tsh. 38,000,000 katika mchango wa wanafamilia ili kuwezesha malipo ya faini ya...
Nampongeza kwa dhati Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuamua kuiweka Tanzania upya kwenye ramani ya nchi zinazosimamia na kulinda Utu.
Tangu ameingia madarakani siku 109 zilizopita amekuwa...
Ni sheria gani inamtaka mtumishi/mwanasiasa awe na kinga yakutoshitakiwa?
Kwa Siku 100 kuna mambo mengi yanajidhihirisha kikiuka sheria kwa kigezo cha kinga.
Kama kodi nyingi zinatumika kulisha...
Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na...
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia...
SIKU 100 ZA RAIS SAMIA, UMEME VIJIJI 400
Na. Georgina Misama - MAELEZO
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema katika siku 100 za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
Kesi ya Mdude inaonyesha namna mtawala aliyetangulia alivyotumia vibaya vyombo ya Dola kupambana na Wapinzani WAKE. Ndio, ni Wapinzani WAKE, sio Wapinzani wa Nchi.
Hawa wote wanaoonekana hawana...
Taifa zima limekuwa likidhani kuwa suala la katiba mpya ni hisani ya CCM au rais aliyeko madarakani. Hili jambo siyo kweli hata kidogo.
Suala la katiba mpya linaongozwa na Sheria ya mabadiliko ya...
Wakubwa shikamooni, Naomba Leo niwe mjinga kiwango Cha lami ya kutoka Iringa kwenda dodoma.
Leo hii tunashuhudia kesi mbali mbali zikiwa zinahitimishwa mahakani na watuhumiwa kuachiwa huru bila...
Suala la kuwapo au kutokuwapo kwa katiba mpya kwa sasa halina mbadala tena. Ni wazi kuwa watanzania walio wengi tunahitaji katiba mpya na iliyopo haitufai tena. Tofauti iliyopo ni kwenye viwango...
Wapo watu wengi tu Tanzania hasa jukwaa la Twitter, wamepost picha za dhihaka wakifurahia Kushindwa kwa msanii Mtanzania Diamond Platnumz katika kinyang'anyiro cha Bet Awards 2021(Best...