Nasubiri nini kuamini Rais Samia alitaka(ga) kujiuzulu Awamu ya 5?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,717
Kipindi fulani enzi za awamu ya 5 tuliwahi kusikia tetesi kwamba Mama alitaka kujiuzulu. Tetesi zikasema resign hiyo ilizimwa baada ya wazee kuingilia kati kwamba italeta picha mbaya kwa wananchi na kimataifa.

Sasa kwa mabadiliko yanayoendelea sasa ni dhahiri kuna ukweli mama alitaka kuachia ngazi. Kuwajibisha viongozi waliondesha magenge ya kihalifu, kuachia watuhumiwa kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu, kukataa hela za dhulma,kuruhusu siasa ziendelee na kuacha kutumia manguvu, kuitikia mialiko ya kimataifa, kutumia lugha za staha, nk nk nk

Nisubiri nini kuamini hili la Samia kutaka kujiudhuru?

Suluhisho la haya yote ni Katiba Mpya ili kudhibiti viongozi wanaotaka kuendesha nchi kama gari bovu
 
Mama alikuwa anaandaliwa na kanuni ya 'Natural Selection'

Ila hakujua kama anaefuata ni yeye kukaa kwenye Kiti

Kwenye maisha unaweza ukawa unaona mambo magumu kumbe unaandaliwa kwa kusudi fulani na ajuae ni Mungu tu hata Shetani huwa hajui

Hata Lissu aliandaliwa kwa kusudi fulani, mapito yote lengo lilikuwa amnyooshe mtu mmoja ambae nchi nzima ilikuwa inamnyara

Ila jamaa (Lisu) alikuwa anapita nae na mia
 
Tena speed ya kifaru

IMG_20210627_152247.jpg
 
Mama alikuwa anaandaliwa na kanuni ya 'Natural Selection'

Ila hakujua kama anaefuata ni yeye kukaa kwenye Kiti

Kwenye maisha unaweza ukawa unaona mambo magumu kumbe unaandaliwa kwa kusudi fulani na ajuae ni Mungu tu hata Shetani huwa hajui

Hata Lissu aliandaliwa kwa kusudi fulani, mapito yote lengo lilikuwa amnyooshe mtu mmoja ambae nchi nzima ilikuwa inamnyara

Ila jamaa (Lisu) alikuwa anapita nae na mia
Mkuu katika nchi hii naamini mwanasiasa wa kwanza mpinzani wa kweli ni Lissu.
 
Na yule aliyekuwa balozi ubel ndugu Sokoine.Tetesi zinasemaje alipoenda kumuona lissu hospital.

Mama akijaandika kitabu cha safari ya uongozi wake nadhani atasema kijiuzulu ilitokeaje.
Akiwa NG'O mojawapo alisema kuna bosi wake alimtambulisha kuwa nina staff mwanake,Mama aliamua kuondoka.Leo Rais
 
Back
Top Bottom