Polepole unaposherekea kubomolewa kwa nyumba za wananchi Kimara -Kibamba unajua tulipoteza ndugu zetu kwa mshtuko?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Nimeona mabishano yanayoendelea Kati ya Kigogo na Polepole, ukisoma ujumbe wa Polepole ni dhahiri anafurahia kitendo cha ndugu zetu kupoteza maisha, kuparalize na wengine kupoteza kabisa dira baada ya serikali ya Magufuli kuvunja nyumba za wananchi kupisha upanuzi wa barabara ya Kimara to Kibaha.

Kejeli anayoonyesha polepole Kama Mbunge inaoonyesha namna ambavyo anaamini kwenye vitu kuliko kuamini kwenye utu. Uhai wa wananchi kwake si kitu, maradhi siyo kitu Bali anachoamini yeye ni barabara.

Niwaombe viongozi wa aina hii ambao wameshiba Kodi zetu na wanatumia rasilimali za nchi wajifunze kuwaheshimu walipa kodi. Tunatambua anaringa na kukejele kwa sababu tu amebahatika kukalia V8, najua kiburi chake kipo kwa maslahi makubwa anayolipwa na umma ila akumbuke kila Jambo lina mwisho.

Watanzania tupo na tutazidi kuwepo ila atapita Kama walivyopita wengine wenye roho ya kikatili Kama yake. Akifa mzazi wangu kwa presha ukaona Kama siyo mzazi wako na kwamba mzazi wako ana haki yakuishi zaidi ya wangu ipo siku hata wakwako ataondoka si kwa kubomolewa nyumba Bali kwa sababu nyingine tu iliyopangwa.
 
Hivi ni nani aliwaambia Bavicha kuwa MATAGA hawamtaki mama?

Naona wameingia kichwachwa kwamba ccm hawamtaki mama hivyo wanadhani wakimshangilia sana mama basi watakuwa wameuwa legacy ya Magufuli bila kujua kuwa mama mwenyewe ni legacy ya Magufuli!

Hiyo ni mbinu ya kurudi nyuma na kutengeneza V huwa inatumiwa sana hata kwenye vita, yani mnarudi nyuma kama mmeshindwa alafu adui anaingia ndani ya fensi.

Hii mbinu iliyobuniwa na MATAGA ya kuwaingiza mkenge BAVICHA wote mhamie ccm na kusifia alafu mwishoni mwa 2025 mfyatuliwe wote.

Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena. CCM itaendelea kupeta. Chadema wote wanashangilia na kuitaja ccm kwa siku mara nyingi zaidi kuliko wanavyoitaja Chadema.

Hongereni sana MATAGA kwa kubuni mbinu hii mtashinda kila kitu kirahisi sana.
 
Nimeona mabishano yanayoendelea Kati ya Kigogo na Polepole, ukisoma ujumbe wa Polepole ni dhahiri anafurahia kitendo Cha ndugu zetu kupoteza maisha, kuparalize na wengine kupoteza kabisa dira baada ya serikali ya Magufuli kuvunja nyumba za wananchi kupisha upanuzi wa barabara ya Kimara to Kibaha...
kila ubaya utalipwa
 
Chakubanga ule ugonjwa umeshafika kichwani, na kwa vile ana mabilioni aliyotengeneza kwenye ule mradi wa kununua wapinzani uchwara anayatumia kusambaza ukimwi kwa makusudi. Sasa mtu mwenye roho mbaya kusambaza ukimwi si ajabu kufurahia watu wakipata mateso.
 
Nimeona mabishano yanayoendelea Kati ya Kigogo na Polepole, ukisoma ujumbe wa Polepole ni dhahiri anafurahia kitendo Cha ndugu zetu kupoteza maisha, kuparalize na wengine kupoteza kabisa dira baada ya serikali ya Magufuli kuvunja nyumba za wananchi kupisha upanuzi wa barabara ya Kimara to Kibaha.

Kejeli anayoonyesha polepole Kama Mbunge inaoonyesha namna ambavyo anaamini kwenye vitu kuliko kuamini kwenye utu. Uhai wa wananchi kwake si kitu, maradhi siyo kitu Bali anachoamini yeye ni barabara.

Niwaombe viongozi wa aina hii ambao wameshiba Kodi zetu na wanatumia rasilimali za nchi wajifunze kuwaheshimu walipa kodi. Tunatambua anaringa na kukejele kwa sababu tu amebahatika kukalia V8, najua kiburi chake kipo kwa maslahi makubwa anayolipwa na umma ila akumbuke kila Jambo lina mwisho.

Watanzania tupo na tutazidi kuwepo ila atapita Kama walivyopita wengine wenye roho ya kikatili Kama yake. Akifa mzazi wangu kwa presha ukaona Kama siyo mzazi wako na kwamba mzazi wako ana haki yakuishi zaidi ya wangu ipo siku hata wakwako ataondoka si kwa kubomolewa nyumba Bali kwa sababu nyingine tu iliyopangwa.
Kina endelea nini huko Tweeter??
 
Back
Top Bottom