Ushawishi, motisha ndo mambo ambayo yanainua hali na matamanio ya mtoto kusoma na mzazi kusomesha.
Wanasiasa na serikali Elimu mnaepeleka wapi kama mambo haya mnayafanya nyinyi,
Ajira za Ualimu...
Leo Mh.Nikki wa Pili amepokelewa na uongozi wa CCM wilaya ya kisarawe.
Sasa ni rasmi Mh.Nikki ni kada mtiifu wa CCM, hakina historia imeandikwa tena.
Vijana wenye akili na maarifa wamo ndani ya...
Kuanzia tarehe 1 July, bei za mafuta, kuanzia petrol, diesel, kerosene zitapanda kwa kiwango kisicho na chembe ya uungwana. Maisha yatapanda.
Mfumuko wa bei utapanda wakati kodi zitashuka maana...
Ujumbe huu nimeutoa mahali lakini author hafahamiki ila utawasaidia sana vijana hawa kujitambua na kujua kuwa ubaguzi wao na dharau kwa wengine hauna manufaa kwao;
Matokeo ya Kisiasa yanataka...
Hii nchi wote sisi ni wafungwa au mahabusu watarajiwa, tusipojiandaa kuishi vyema mahabusu tukadhani tupo salama tutaingizwa huko na patakua si sehemu salama kiafya na kimalazi kukaa.
Nchi za...
Kwasababu bado sina chama cha siasa, nataka kuwashauri viongozi wakuu wa CCM. 'Msijitenge na hoja ya katiba na kuwaachia upinzani pekee, mnafanya kosa kubwa'.
Nimeangalia trend mpaka sasa huko...
Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana.
Kila kiongozi anaye...
30 Juni 2021
Paris , France
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Juni 30, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyekiti wa kundi la maseneta...
Amani iwe nanyi,
Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara...
Nimekuwa nikifuatia kwa karibu sana tabia ya Tanzania ya kukwamisha maendeleo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kuanzia kuzuia uhuru wa kugura (movement) kwa raia wa Jumuiya, hadi kulipisha ushuru...
Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo...
Habari wakuu
Mimi binafsi nimekuwa nikipenda namna mh Rais anaongoza nchi yetu, ana maneno ya busara ,hekima na matumaini ,ana huruma mpaka akitoa ahadi huoni namna ya kumpinga wala kuwa na...
CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Lissu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema...
wachina watatumaliza, bandari na jeshi ni strategic economic and security move in their favour . Sri Lanka wameshapata matatizo hapo
Tukiweka ushabiki pembeni, nchi yetu inahitaji maendeleo...
Katika dunia hii kuna watu wameikumbatia sana corona na wanaitumia kufanikisha malengo yao!! Kwa bahati mbaya sana kuna mataifa mengi hasa ya kiafrika yanayocheza ngoma wasiyoielewa!
Hawajui...
Katiba mpya ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa hata chama bila katiba hakiwezi kuendelea.
Katiba ya sasa ina mapungufu mengi sana. Kwanza swala la elimu halikuzingatiwa kabisa katika kuwapata...
Na Mwandishi wetu,
Dodoma.
Chama Cha Mapinduzi kimesema kinahitaji kuona mipango ya Serikali yenye kuleta majawabu kwa vitendo badala ya kutumia muda mwingi kuwa na mipango inayoainisha malengo...
30 June 2021
Dar es Salaam,
EU YATOA MAMILIONI KUSAIDIA MRADI WA ECO - FISH ZIWA VICTORIA
Mkurugenzi Wizara Ya Mifugo na Uvuvi Bwana Emmanuel M. Bulai akizungumzia kuhusu Mkutano wa Usimamizi...