YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Lissu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa! Ulaya sababu ya Corona mikutano ya hadhara ni marufuku.
Hata leo hii mazishi ya Prince Phillip wa Uingereza yatakayofanyika kuanzia saa sita na nusu yatahudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia ya kifalme 30 tu.
Sasa hata Watanzania hivi CHADEMA tuwaelewaje? Mbowe mwenyewe kasema Corona Tanzania iko kibao serikali ilete chanjo yeye keshachanja. Halafu hapo hapo wanataka mikutano ya hadhara wanata kuua watu kwa Corona au?