Magufuli umekosea kuwapa wachina ujenzi Bagamoyo. Bandari na jeshi ni strategic, economic and security move

Nathan Jr

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,437
1,875
wachina watatumaliza, bandari na jeshi ni strategic economic and security move in their favour . Sri Lanka wameshapata matatizo hapo

Tukiweka ushabiki pembeni, nchi yetu inahitaji maendeleo, lakin tuchague aina ya njia tunazoona zinafaa kuleta maendeleo,

Hakuna hasiyejua kwamba China ni wajanja mno katika masuala ya kutafta masoko,

Mbali Zaid China hii siyo Ile ya Mao , hii China yenye Tabia zote za Ubepari na Unyonyaji,

Nchi nyingi zimeumia Kwa mpango huu WA kuwapa wachina wajenge bandari tena za Jeshi,

Tumkosea sana,

Angalia Sri Lanka na nchi kama Taiwan yamewakumba haya

Baada ya kuonekana Sri Lanka anashinikizwa kulipa haraka Deni la kujengewa miundombinu, wakakataa wakasema haiwezekani na Kwa Hali mbaya tunayopitia hii kulipa Kwa makubaliano hayo,

China wakatumia fursa hiyo kuwaambia Sri Lanka kwamba mtupatie sehem nyeti za nchi tuziendeshe sisi tujilipe ndo mzozo ukaanza,

Sri Lanka wakasema basi chukua airport mliyotujengea, China wakakataa kwamba hatutaki airport tupu na ndege zenu tunataka,

Sasa Tanzania kuweni makini Sana na wachina

China Tells Sri Lanka: We Want Our Money, Not Your Empty Airport

Nathan
00069 PGH . Sörnäisten rantatie 18 F
+358068670****
 
Mods rekebisha kichwa ni
Magufuli umekosea kuwapa wachina ujenzi bagamoyo, Bandari na jeshi ni strategic, economic and security move Kwao
 
Sri Lanka’s debt situation is severe. The country is currently in $58.3 billion deep to foreign financiers, and 95.4% of all government revenueis currently going towards paying back its loans. This means that out of every hundred dollars the government brings in only $4.60 is going towards essentials like education and public services.

Sisi kwa sasa nusu ya makusanyo tunalipa madeni
 
wachina watatumaliza, bandari na jeshi ni strategic economic and security move in their favour . Sri Lanka wameshapata matatizo hapo

Tukiweka ushabiki pembeni, nchi yetu inahitaji maendeleo, lakin tuchague aina ya njia tunazoona zinafaa kuleta maendeleo,

Hakuna hasiyejua kwamba China ni wajanja mno katika masuala ya kutafta masoko,

Mbali Zaid China hii siyo Ile ya Mao , hii China yenye Tabia zote za Ubepari na Unyonyaji,

Nchi nyingi zimeumia Kwa mpango huu WA kuwapa wachina wajenge bandari tena za Jeshi,

Tumkosea sana,

Angalia Sri Lanka na nchi kama Taiwan yamewakumba haya

Baada ya kuonekana Sri Lanka anashinikizwa kulipa haraka Deni la kujengewa miundombinu, wakakataa wakasema haiwezekani na Kwa Hali mbaya tunayopitia hii kulipa Kwa makubaliano hayo,

China wakatumia fursa hiyo kuwaambia Sri Lanka kwamba mtupatie sehem nyeti za nchi tuziendeshe sisi tujilipe ndo mzozo ukaanza,

Sri Lanka wakasema basi chukua airport mliyotujengea, China wakakataa kwamba hatutaki airport tupu na ndege zenu tunataka,

Sasa Tanzania kuweni makini Sana na wachina

China Tells Sri Lanka: We Want Our Money, Not Your Empty Airport

Nathan
Wajerumani wanajenga mbuga zetu, na kuhusu Wachina usimlaumu Uncle Magu mlaumu nyerere kwani hakuna anaejua yeye na Mao walisaini Tanzania itakuwa chini ya Influence ya China kwa miaka mingapi so tegemea zaidi kutoka kwao mtoa mada ningependa nikuhakikishie hili.
 
Haya ni mawazo ya kipuuzi sana
 
Nchi nyingi za Afrika zitakuja jutia sana huu uwekezaji wa Mchina. Maana yeye kutoa pesa kwa ajili ya kujipenyeza haoni shida na hujificha kwenye kichaka cha masharti nafuu. Kwa vile viongozi wetu wanataka mteremko na hawataki Nchi inayotoa pesa kwa masharti mengi na baadaye inataka ifanye ukaguzi wa hizo pesa walizotoa,basi wanaona kimbilio ni China. Tunaambiwa kwa mfano Ethiopia,ile Reli yake hadi Djibouti imegharimu pesa nyingi sana mara kumi ya GDP ya taifa hilo. Sasa ukijiuliza watalipaje,unapata jibu tu kuwa Nchi itawekwa rehani. Morocco nao kwa sasa wana mvutano na China, Ghana ndo usiseme,wao hadi wanaanza wafukuza kutoka Nchini Mwao. Hivi majuzi tumesikia ya Kenya na China. Vp kuhusu ule umoja wa China,Brazil,S. Afrika,India....una manufaa yapi?
Hapa tujipange kwa kweli.
 
Wajerumani wanajenga mbuga zetu, na kuhusu Wachina usimlaumu Uncle Magu mlaumu nyerere kwani hakuna anaejua yeye na Mao walisaini Tanzania itakuwa chini ya Influence ya China kwa miaka mingapi so tegemea zaidi kutoka kwao mtoa mada ningependa nikuhakikishie hili.
Hizo mbuga zinajengwa tangu mini? unazungumzia Frankurt zoo logical society? huna akiki!
 
Jengo jipya la Mikutano la AU pale Addis limejengwa kwa zaidi USD Mil 200 kwa msaada wa China..

Halafu walivyo washenzi server za mawasiliano nyeti yanayofanyika kwenye hiki Kituo pale Addis zimefichwa pale Beijing..

Kila linalozungumzwa Addis iwe kwenye vikao au shuguli za kila siku za AU wanalidaka kama lilivyo kule Beijing..

Lazima kuwa makini sana na Wachina.
 
Jengo jipya la Mikutano la AU pale Addis limejengwa kwa zaidi USD 200 kwa msaada wa China..

Halafu walivyo washenzi server za mawasiliano nyeti yanayofanyika kwenye hiki Kituo pale Addis zimefichwa pale Beijing..

Kila linalozungumzwa Addis iwe kwenye vikao au shuguli za kila siku za AU wanalidaka kama lilivyo kule Beijing..

Lazima kuwa makini sana na Wachina.
Hii USD 200 hata haitoshi sink la choo
 
I agree, Chinese sio wa kuwapa mradi mkubwa hivyo kama port ya Bagamoyo... Watatumaliza... I said this many many times.. China ya leo ni hatari sana na wezi sana kheri mara 10000% ubepari kuliko China ya leo... Meaning China ya leo ni mabepari na wezi wakubwa hasa katika miradi mikubwa..!!

Mh.Rais wetu alivyowanyima tenda ya SGR, nilifurahi sana sana, nikajua na Bagamoyo port atatafutwa investor mwingine ila sio China..!! Chinese are smugglers, looters..!! Mh. Rais wangu namuamini sana, i hope hili swala la Bagamoyo port ni very very sensitive, ningependelea wapewe investor mwingine ila not Chinese
 
Wajerumani wanajenga mbuga zetu, na kuhusu Wachina usimlaumu Uncle Magu mlaumu nyerere kwani hakuna anaejua yeye na Mao walisaini Tanzania itakuwa chini ya Influence ya China kwa miaka mingapi so tegemea zaidi kutoka kwao mtoa mada ningependa nikuhakikishie hili.
Acheni huu Ujinga Nyerere kafa miaka mingapi mpa ka leo mnashindwa kurekebisha mnapohisi kakosea mnaishia kuhamisha magoli Shame
 
Back
Top Bottom