MATAGA mnataka mkataba wa Bandari ya Bagamoyo uwe wazi, mbona hamkuuliza mkataba wa ndege, makinikia na SGR?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,984
20,634
Mataga sasa hivi wamekuwa kama chapati, kila wakienda upande huu au ule wanapigwa.

Walishangilia ndege ambazo zilinunuliwa kwa mkataba usiojulikana, makinikia yanaenda nje kwa mkataba wa mwendazake, SGR, Stiglers, yote haya yanajengwa bila mikataba inayojulikana na mataga walikuwa wanashangilia.

Leo bandari inataka kuanza wanajifanya wazalendo, unafiki tu
 
1624801916358.png


He was a teacher
 
Kwa hiyo wewe kwa akli zako ulizonazo, unaona ni bora nchi iendelee na mambo ya JK?
 
Tunasubir hela za acacia tununue Noah.

Tukasikia tena tumeingia mkataba kweny kampuni mpya ya twiga

Labda kichaa tu ndio ataelewa na kukubali mkataba wa bagamoyo unamasharti ya ovyo sn
 
Kwa sababu alikuwepo mtu mzalendo kwel pasipo hata kutilia shaka uzalendo wak lakin sasa mmmmh.....tunapgwa mchana kweupe
 
Hawa agenda yao ni kupalilia mifarakano. Ni wenye kukaanga mbuyu na kuwaachia wenye meno watafune.

Kwa majina yao tumewaomba ufafanuzi tunawasubiri:

 
Back
Top Bottom