Katika siku 100 za Rais Samia wapinzani mmetendewa haki sasa tusisikie kelele

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Katika siku 100 za Rais Samia yapo mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa na wapinzani wa CCM yametekelezwa.tunapoelekea katika kukamilisha ilani ya CCM kamwe na sio busara kusikia kelele za kihuni kutoka upinzani badala yake tujikite kwenye mada za maendeleo ya nchi kupitia utekelezaji wa ilani ya CCM.
 
Katika siku 100 za Rais Samia yapo mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa na wapinzani wa CCM yametekelezwa.tunapoelekea katika kukamilisha ilani ya CCM kamwe na sio busara kusikia kelele za kihuni kutoka upinzani badala yake tujikite kwenye mada za marndeleo ya nchi kupitia utekelezaji wa ilani ya CCM.
Tuambie zipi ni kelele za kihuni,wengine hatuzifahamu,ama ndio wale muaminio katika enzo za ubabe,jeuri,kejeli,unyanyasaji,uonevu na mengine mengi yasiyo pendeza,na sasa mnajaribu kupingana na uelekeo mpya ulio kinyume na matamanio yenu.
 
kelele za kihuni zinafahamika mkuu.usijitoe ufahamu
 
Viongozi Wetu Wanatia Aibu
Yaani Kila Kitu Wanasema Hakijawahi Kutokea Isipokuwa Awamu Ya Sita

Huu Ni Udhaifu Mkubwa
Awamu Ya 5 Walisema Haya Haya ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜๐Ÿ™„๐Ÿ˜ถ๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜
 
Tatizo ni wasikilizaji!
 
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.

Ccm itaendelea kupeta
Wewe acha kujigeuza kinyonga,kwani umetoka lini awamu yako pendwa uliyokuwa umekwamia na kuunga mkono juhudi awamu iliyopo.
 
Dah... Mkuu jingalao ndio umeanua matanga usiku huu! Pole sana kwa Msiba! Tumuombee Jiwe aendelee na uongozi huko alipo iwe Peponi au Motoni..!!
 
Katika siku 100 za Rais Samia yapo mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa na wapinzani wa CCM yametekelezwa.tunapoelekea katika kukamilisha ilani ya CCM kamwe na sio busara kusikia kelele za kihuni kutoka upinzani badala yake tujikite kwenye mada za maendeleo ya nchi kupitia utekelezaji wa ilani ya CCM.
Kwa kuwa tunawajua hata hiyo inayoitwa ilanitunahitaji kuifanyia ukaguzi huru,kupitia CAG aliye huru ili tubaini maovu na uongo katika hilo.
 
Dah... Mkuu jingalao ndio umeanua matanga usiku huu! Pole sana kwa Msiba! Tumuombee Jiwe aendelee na uongozi huko alipo iwe Peponi au Motoni..!!
Ataendelea huko alipo na hapa alipoondoka.
Note my comment!
This is Tanzania.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Katika siku 100 za Rais Samia yapo mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa na wapinzani wa CCM yametekelezwa.tunapoelekea katika kukamilisha ilani ya CCM kamwe na sio busara kusikia kelele za kihuni kutoka upinzani badala yake tujikite kwenye mada za maendeleo ya nchi kupitia utekelezaji wa ilani ya CCM.
Kumbe ulikuwa unajua yule shetani alikuwa hatendi haki! Shabiki wa shetani ni shetani pia hivyo na wewe ni kashetani kadogo!
 
Back
Top Bottom