Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari zenu wanaJF, Kazi nyingi zina sifa zake ili mtu aweze kuajiriwa Mfano kuna baadhi ya Position za uhasibu zinahitaji CPA, Ugavi CSP n.k (a) Naomba kujua ili mtu awe mkuu wa Mkoa ni sifa...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Baada ya jana Rais kuulizwa maswali ya kimtego na kuyajibu kiholela, ni dhahiri inahitajika nguvu kidogo tu kupata yale tuliyoyapigania kwa miaka mingi. Hadi sasa raisi kishaonyesha hana nguvu ya...
3 Reactions
7 Replies
936 Views
Mambo ni zaidi ya moto, Mama anaupiga mwingi sana. Nilijua na najua kuwa Mama Samia ana akili nyingi sana Ila sikujua kwa kiwango hiki. Ana IQ kubwa sana. Kitendo cha kukataa mabaradhuli...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
RAIS John Magufuli ameutaka uongozi wa Mkoa wa Mwanza na TAKUKURU, kuhakikisha kuwa watu waliopora mali za Chama cha Ushirika cha Nyanza (NCU), wanapatikana na kuzirudisha mali hizo mara moja...
15 Reactions
189 Replies
28K Views
SIMON GROUP CO.LTD inayojitambulisha kununua shirika la usafiri Dar es Salaam ni wawakilishi wa viongozi wa Tanzania katika kufisadi mali za Umma. Anae jitambulisha kama Robert Simon Kisena ambae...
15 Reactions
100 Replies
25K Views
Nawasihi Watanzania wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Korona (Uviko-19) kama tunavyoelekezwa na wataalamu wetu wa afya. Tunawe mikono kwa maji tiririka na sabuni, tutumie...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kauli ya Mkuu wa nchi ya kwamba kazi ya Uraisi ni ngumu inaturudisha enzi za mwendazake maana na yeye alikuwa akitamka mara kwa mara kauli hii. RAIS Samia ameweka wazi ya kuwa pamoja na ugumu...
1 Reactions
4 Replies
876 Views
Niliwahi kuandika hapa jukwaani na ntazidi kuandika. Ukitaka kukuza uchumi wa nchi tengeneza mazingira ya watu kujisikia wapo huru, hawabughudhiwi, wanajiskia kutendewa haki, hata uzalendo wa...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Katiba Day ni siku ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeandaa kongamano la kujadili umuhimu wa kuwepo kwa Katiba Mpya itakayotokana na Raia wote, pamoja na mjadala huo pia...
30 Reactions
151 Replies
12K Views
Siyo siri, nchi ilikuwa katika sintofahamu, hofu na ahadi ya ufukara kwa nchi na mtu mmoja mmoja. Matokeo ya uongozi wa Mwendzake. Kitu cha kwanza Mam Samia kaondoa ni hofu. Hofu ilikuwa ya ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Uchaguzi ulikwisha. Na kwa bahati mbaya sana Mungu alimpenda zaidi tuliyempenda, hivyo sio vema kuendelea kuona sura yake ikipiga kampeni kwa picha zile za unyenyekevu. Kwa Dar es Salaam hili...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna Uzi nilisema humu NI vigumu kufikia malengo ya Democrasia na utawala wa Sheria ata 80% kwa utawala wa Mama yetu pendwa japokuwa NI kiongozi mzuri na sio muumini wa utawala wa kimabavu. Swala...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mama akiongea jana na wana habari alikumbusha kuwa alikuwa pale kwa maongezi zaidi wala hakupenda iwe hotuba. Mama alikuwa pale kubadilishana mawazo. Mama ni mwana diplomasia mahiri. Anajua...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Wasalaam, Leo tarehe 28 Juni 2021 Mahakama amemuachia huru aliyekuwa mtuhumiwa wa kosa la kuuza madawa ya kulevya. Sitagusia juu ya kesi au namna ushahidi ulivyotolewa ila nataka kuongelea...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Hongereni kukutana na Mhe. Rais. Hongereni kupata vinywaji Ikulu. Hakika hamkujipanga,mlitakiwa wahariri mkutane kwanza muandae maswali Magumu na mazuri na mngegawana maswali na majina mngempa MC...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Namsikiliza mama Waziri hapa anasema kuwa hali ilikuwa mbaya ila Wawekezaji wanarudi kwa kasi, foleni za Wafanyabiashara kutoka nje zimekuwa kubwa, na baadhi ya mabalozi wakiri kurahisishiwa...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa sasa mkazo unawekwa katika kudhibiti wimbi la tatu la covid 19 pamoja na kuimarisha hali ya uchumi wetu ikiwemo kuwarejesha wawekezaji waliotukimbia. Kuruhusu mikutano ya kisiasa na ile ya...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
My take: Rais Magufuli wakati anaongea na wafanyabiashara Ikulu alisema alikaa na Kimei na kugundua taasisi nyingi za serikali zimehifadhi pesa nyingi sana kwenye taasisi za fedha ambazo serikali...
4 Reactions
157 Replies
39K Views
Mapema kabisa GENTAMYCINE natoa OMBI Kwa 'Mama' tafadhali kama katika hiyo Ripoti Maalum ya Ukaguzi BoT utakayoipokea Keshokutwa ( Jumatano ) itawagusa waliopo Serikalini Kwako au uliowapa Ubunge...
13 Reactions
57 Replies
5K Views
Habari ya leo wakuu, Imani yangu nyote ni wazima, kwa wasio wazima InshaAllah Allah awafanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye hoja. Naomba mkataba na project proposal ya ujenzi wa bandari ya...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Back
Top Bottom