Ni zipi sifa zinazotakiwa ili uwe Mkuu wa Mkoa au Wilaya?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,281
6,696
Habari zenu wanaJF, Kazi nyingi zina sifa zake ili mtu aweze kuajiriwa
Mfano kuna baadhi ya Position za uhasibu zinahitaji CPA, Ugavi CSP
n.k

(a) Naomba kujua ili mtu awe mkuu wa Mkoa ni sifa zipi za lazima anatakiwa
kuwa nazo?

(b) Ili mtu awe mkuu wa Wilayani sifa zipi za lazima anatakiwa
kuwa nazo?
 
1.Uwe na uwezo wa kuvamia sehem yoyote, kwa escot na mitutu, 2.uwe ,na kichwa kigum kama paka mwizi hata ukipigwa marungu haufi,
 
Uwe na uwezo wa kujipendekeza na kumtafutia mkulu madoctor (local) kutoka Bagamoyo, uwe umewahi kufeli masomo yote O level na mpenda sifa na kuuza sura@
 
Gombea nafasi yeyote CCM ushindwe kihalali .
Usitoe rushwa wakati WA kugombea.
Utateuliwa ili urudishe vihela vyako
 
Kwa mkuu wa mkoa wa Dar unahitaji kuwa na tangazo tu lakuzaliwa hata usipokuwa na cheti chochote mradi unachapa kazi unaweza kuteuliwa

Back
Top Bottom