KAKOBE kapatwa na kitu gani? Nimemsikiliza leo, nimeishia kusikitikia waumini wake, leo alikuwa anatoa ushuhuda mbele ya Magufuli sasa nikajiuliza, huyu KAKOBE ndie yule ambaye alihojiwa na TRA...
Nawaomba kwa dhati wanachama wa CCM tushikamane kwa nguvu zote kipindi hiki kuelekea uchaguzi yatasemwa mengi sana kuhusu chama chetu na viongozi wetu tusiwape nafasi wabaya wetu wanaopanga...
Ni miradi iliyofunguliwa na hayati Magufuli.
Ni miradi yenye kumbukumbu nzuri katika kurahisisha shughuli za jamii kwa maeneo husika.
Ni miradi itakayokumbukwa kwa muda mrefu.
Nawasalimu kwa...
👉Kipindi cha magufuli kulikuwa ni ubabe kama ubabe! Kuna miradi kwa upande wangu haukuwa na tija!
Kuna fedha nyingi zimepotea!
👉Naamini hivi maana mwendazake hakuwai kutak CAG achukue nafasi...
Waziri wa Fedha ameliambia bunge kuwa ukwepaji kodi liwe suala la aibu. Napenda kumwambia Waziri. Walipa kodi wanatarajia kodi zao ziende kwenye kuwapitia maendeleo.
Kutokana na serikali kuwa na...
Wengi wa wanaohoji maswala ya chanjo na ugonjwa wa corona kwa ujumla wanakutana na upinzani mkubwa hasa inapokuja kwa upande wa Afrika.
Lakini ukweli ni kwamba Covid-19 ni siasa. Kusema ni siasa...
Wa kwanza ni Nkwame Nkrumah wa Ghana!! Mabeberu hawana hamu naye! Alipigania uhuru wa Afrika na kukataa kuburuzwa na mabeberu!! Ni alama ya kwanza kwa mashujaa wa Afrika. Karibuni tuendeleze...
Wakuu ukifanya tathmini ya Mkutano wa Mh Rais na Wahariri wa Vyombo Vya Habari Je unadhan Wahariri wameitendea HAKI fursa waliyopewa na Mh Rais?
Ukiacha waandishi Wa Habari Kama Joyce Shebe_ wa...
Nani anasema maoni pinzani,maoni kinzani yamezuiwa katika nchi hii.
Matatizo ya Wapinzani IGP Sirro alikuwa anawagombeza Chadema katika Uchaguzi uliopita. Anasema Chadema walikuwa hawana heshima...
Mimi ni mdau ambaye natamani katiba mpya lakini sio wakati wake. Kwenye janga la Corona na baada ya kimpoteza Raisi huwezi kudakia katiba mpya maana watu watakuwa wanajadili wakiwa na matatizo...
Mama bado yupo kwenye hatua ya awali ya kuweka mambo sawa, hivyo ni mapema kuanza mpa lawama kwa hili na lile.
Kwa namna ratiba ya Mhe. Madam President ilivyo tight isingewezekana mtu akiomba...
Nina sababu Mbili tu juu ya hili ambazo...
1. Kauli ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kusema na Kukulazimisha Watanzania tuamini kuwa hakuna Corona nchini nina uhakika huenda ikawa imepelekea Vifo...
Baada ya jana kukutana na kuzungumza na Watumishi wa Halimashauri ya Wilaya ya Songwe jana.
Leo Juni 25,2021 Mkuu wa Wilaya ya Songwe Simon Simalenga amefanya ziara kwenye Kata ya Mwambani...
Na; Hamis Abeid Baruani
0769808725
Mama kwanza pole na hongera kwa majukumu ya kulitumikia Taifa letu tukufu la Tanzania, kama kijana wako wa Tanzania nina maoni yangu kadhaa ningependa kukupatia...
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui alisema afya sio jambo la muungano ila kwa suala la chanjo inabidi wafanye kazi kama #jamhuri kwa kuwa mashirika ya kimataifa yanatambua #Tanzania Bara...
Wana JF,
Nimeonelea nilete mada hii ili kuonyesha namna kiongozi wetu Mkuu wa nchi Rais Jakaya Kiwete alivyo mnafiki,mwongo,kigeugeu na ndumila kuwili.Hoja yangu itazungumzia maeneo muhimu matatu...
SIKU mbili baada ya Ikulu kutoa taarifa ya kejeli dhidi ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, wanasiasa, wasomi, viongozi wa dini na wanaharakati wameitaka Ikulu ya...
Chonde chonde Mama Samiaa Suluu Hassan,kama hitaji la watanzania kuwa na katiba mpya hutaliona kwa sasa muda si mrefu tutaacha kukuunga mkono,hata ndani ya chama
Utawala uliobora ni ule utawala wa makubaliano baina ya mwanaichi na mamlaka
Suala la katiba mpya nalifananisha na ujio wa chupi za watoto maarufu pampas!
Zilipo ingia kwa Mara ya kwanza...
Dada yangu Rais Samia Suluhu Hassan alisema "Rais huwa hakosei". Kwa usemi huo tu tayari alikuwa kakosea maana hakuna mtu asiyekosea, hayupo na hatakuwepo!
Ndio maana hata kwenye uteuzi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.