Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Joseph Mbilinyi alialikwa kwenye TV hiyo kwa ajili ya Mahojiano katika kipindi chao cha medani za siasa , mabango yakawekwa kila kona Hatimaye siku ya mahojiano ikafika , Kwenye mahojiano...
59 Reactions
104 Replies
12K Views
Chama Cha ACT Wazalendo kimeipokea kwa masikito makubwa kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kuwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa na Katiba Mpya...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Waziri Mkuu wa Tanzania akionyesha nakala za Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 leo wakati wa uzinduzi wake Mjini Dodoma Nimefurahi kuona luninga ya TBC1 leo asubuhi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tulikotoka Ujenzi wa daraja hilo lililopewa jina la Mfugale ulioanza miaka miwili iliyopita umegharimu Sh bilioni 92 hadi kukamilika kwake, huku Serikali ya Japan kupitia Shirika la Maendeleo la...
18 Reactions
352 Replies
61K Views
DKT. Magufuli akiwa anaendelea na kampeni za uchaguzi 2020, amepita kijiji cha Nyehunge akiwa anaelekea Geita ambapo kutoka Sengerema mpaka Nyehunge ni kilomita 46. Alisimama kuongea na wananchi...
34 Reactions
162 Replies
27K Views
Nangoja kwa hamu sana hapo tarehe 30 Juni, when the BOT report that president Samia Hassan ordered for will finally be handed over to her, nasubiri sana kuona kitakachotokea kwa watakaotajwa, na...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwanza niulize; Wapi wabunge walikokwenda wasiombe rushwa? Hata kwenye taasisi za serikali ni hivyo hivyo! Mbumbumbu hawa ndo iwe kigezo cha kuwekeza Bagamoyo? NO! Bandari ya Bagamoyo ilibuniwa...
16 Reactions
41 Replies
4K Views
MEYA RAIBU ATAKA KAZI IENDELEE NA IKAMILIKE Utekelezaji wa sheria na maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan umefanyika katika manispaa ya Moshi kwa kutoa mikopo yenye Tshs Milioni 302,904,000 kwa...
0 Reactions
2 Replies
788 Views
Nikikumbukaga kauli za Magufuli hasa ile ya kusema nchi hii imechezewa sana huwa napata hudhuni sana kwa nini watanzania wengi ni wajinga hawana upeo wa kuchanganua mambo. Magufuli akatuonesha...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
29 June 2021 Dar es Salaam, Tanzania Eneo la soko huru kupitia mkataba wa AfCFTA yafikia nchi 38, tanzania kufaidika Tanzania imeridhia na pia kufikia hatua za mwisho kuingia katika soko kubwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
CUF-CHAMA CHA WANANCHI WILAYA YA KINONDONI Ndugu, Mwanachama wa CUF, wilaya ya kinondoni unaombwa kuhudhuria MKUTANO MKUBWA WA NDANI utakaofanyika katika ofisi ya wilaya ya kinondoni. Siku ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TUJIANDAE KUVIPOKEA VYOMBO VIKUBWA VYA KIMATAIFA Na Elius Ndabila 0768239284 Juzi Rais wa Tanzania, Samia Suluhu HASSAN amewataka viongozi wakuu wa sekta na taasisi za umma kujipanga kuupokea...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Siku mia moja za Rais Samia ni pongezi kila kona bila kukoma lakini kuna baadhi ya hiana. CCM inafanya hiana kwa Watanzania na baadhi ya washauri wa Rais wasije kutufanyia hiana. Mama...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Je, tung'ang'anie Katiba Mpya huku Uchumi wetu Ukidorora au tuimarishe na tukuze Kwanza Uchumi wetu na Katiba Mpya tuwaachie Vizazi vijavyo? Leo nitakuwa ninasoma tu Maoni yenu.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
"Samia Suluhu Hassan has finally revealed her true colors. It's Magufulism without Magufuli & it's unacceptable. We can't, & we won't, accept the continuation of the illegal ban on lawful...
10 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwanza napenda kumpongeza mama yetu mpendwa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya. Kitu kingine ningeomba sana mshahara wa Rais upandishwe tena uwe angalau kama enzi ya Rais...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Naomba kumshauri Rais kwamba kwa mtazamo wangu Ni vigumu kupata wawekezaji walio serious kuja kuwekeza nchini kwa sababu nchi yetu haina mfumo mzuri wa kisheria na kikatiba. Haki Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Specifically naongea na wanaodai kwamba hakuna uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa. Rais kasema hajazuia mikutano yenu ya wanachama wenu ndani ya chama. Wabunge wafanye kwenye maeneo yao pia...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Huwezi kujenga uchumi bila utawala bora na huwezi kuwa na utawala bora bila utawala wa sheria, na huwezi kuwa na utawala wa sheria kama hauheshimu haki za binadamu na uhuru wa mahakama! Na...
0 Reactions
2 Replies
817 Views
Wadau naomba kujua yafuatayo juu ya sifa za kuteuliwa Ukuu wa Wilaya na KAZI za MKUU wa WILAYA. 1. Elimu 2. Umri 3. Ujuzi 4. Itikadi 5. Uzoefu Ili tusiwalaumu walioteuliwa kumbe wanasifa sahihi...
1 Reactions
17 Replies
9K Views
Back
Top Bottom