TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Habari wadau!
Hivi Joshua Nassari yupo wapi? Kuna muda nilianza kuwaza ujinga kwamba huyo dogo uenda ikawa kapata bebi ya kizungu hivyo atakuwa ametulia huko ubeberuni anakula maisha.
Japo mimi ni kada lakini Nassari nilikuwa namkubali sana,na naamini kama Hayati JPM angekuwa hai lazima angemuibua tu katika teuzi zake.
Lakini kwa sasa inabidi tu tumuombea dua kijana mwenzetu pindi mama prezida SSH atakapopita katika utukufu wake wa teuzi amkumbuke ndugu Joshua Nassari.