Mwl Nyerere aliambiwa kwanini wananchi wanamsukuma Mrema na gari yake Dar hadi Kibaha

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Enzi hizo watu walidhani Mwl Nyerere ataamuru majeshi. Akawambia waacheni wasukume gari la Mrema, wakichoka wataacha wenyewe.

Hivyo upinzani muwaache waongee kwenye mikutano, wananchi watawachoka au watawaelewa. Hakuna haja yakutumia nguvu bila sababu, hata hiyo mikutano itakuwa ya Amani zaidi.

Ushabiki wakushangilia kiongozi anapovunja sheria ni hatari zaidi.
 
Kikwete naye alikuwa mjanja hakuzuia mikutano ya hadhara bali aliwaambia makada wa ccm watoke wajibu hoja kwa hoja na sio kutehemea polisi
 
Enzi hizo watu walidhani Mwl Nyerere ataamuru majeshi. Akawambia waacheni wasukume gari la Mrema,wakichoka wataacha wenyewe...
Mrema alikuwa mkulima wa kahawa Vunjo wakati Nyerere akiwa Amiri jeshi mkuu.
 
Nasema Ni mapema Sana Kumletea Mama Kesi kama Hizi.... mwacheni Achape KAZI......Kazi Iendelee. Msianze fujo
 
Na sasa sote tunajua kuwa mrema alikua ofisa wa idara ya usalama wa taifa, a.k.a mpinzani mamluki. Infact chama chote cha NCCR mageuzi kilianzishwa na wale jamaa.

Mwalimu Nyerere na CCM yake hawakuwahi kutaka siasa za vyama vingi, walichokifanya ni kuchezea tu akili za wadanganyika.
 
Back
Top Bottom