Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawasalimu kwa Jina la JMT. Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11. Kwa...
5 Reactions
116 Replies
14K Views
Hatimaye yale malalamiko kwa bodi ya mikopo kwamba watu wamekatwa lakini deni halionekani kupungua. Baada ya kimya cha muda huku malalamiko yakiendelea wameamua kujibu. Ni wakati mwafaka kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni vigumu kutambua nafasi ya Rais wa Tanzania hasa katima hoja aidha ni mwajiri wa wananchi au ni mwajiriwa wa wananchi. Marais waliopita wametengeneza dhana kwamba wao ni waajiri wa wananchi...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto. Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe...
5 Reactions
73 Replies
7K Views
Kwa kadri joto la kudai katiba mpya linavyozidi ndivyo ninavyojiuliza maswali mengi sana. Maswali haya yanatokana na kwamba tulishuhudia jirani zetu Kenya walitunga katiba mpya kwa mbwembwe...
7 Reactions
82 Replies
5K Views
Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi. Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe...
12 Reactions
157 Replies
14K Views
Nchi yetu imepita kwenye mabadiliko makubwa sana ndani ya miaka sita. Kumekua na mageuzi makubwa sana kiutawala na kiuchumi tangu 2015. Kukataa kwamba mfumo uliokuwepo kabla ya 2015 ulishavunjwa...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
"Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Anapotokea mtu akapandisha kodi ya Mafuta akashusha kodi ya Vinywaji na wananchi wakaridhika inaonesha ni jinsi gani tuna taifa la kinafiki kwa kiwango kikubwa. Kuna wale wauaji ambao huwa wana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mama Samia Wengi watatoa maoni yao kuhusu hotuba yako na wahariri wa vyombo vya habari lakini leo sitajiunga nao bali nitakupa zawadi ya kutimiza siku 100 kwa Post hii ya kukuomba msamaha. Sio...
0 Reactions
4 Replies
963 Views
Huwezi kufanikiwa kuamua kwa usahihi endapo mamlaka yako yatabebwa na huruma ya kimaamuzi kamwe huwezi. Mamlaka hudhiri kwa wale wachanganyao uamuzi wa kibabe kiasi na huruma ya kibabe kiasi...
1 Reactions
8 Replies
950 Views
Duniani kote tatizo la ajira kwa vijana halijawahi kutatuliwa na vijana kujiajiri maana kujiajiri ni issue ngumu. Ukiangalia tatizo la ajira linahusisha makundi makuu mawili: 1. Waajiri (Serikali...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Kama Katiba Mpya haikuwekwa kwenye Irani ya chama chetu nashauri kwa kuwa KATIBA si Mali ya chama chochote kama nilivyosikia leo chama Fulani kinasema ni "Jambo letu na sisi ndo tume asisisi "...
2 Reactions
3 Replies
666 Views
Naelekeza hili swali kama nilivyotumiwa kwa Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni, Ndg Godwin Gondwe. Waumini wa msikiti wa Kisumu, Magomeni mikumi wana mgogoro wa kikatiba kuwa Mkutano mkuu...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Huyu bwana Ilvini Mugeta ndiye aliyemfunga yule MwanaCCM na mfanyabishaa maarufu wa Arusha Justini Nyari kwa makosa ya ujambazi wa kutumia silaha wakati huo akiwa Hakimu tu huko Arusha. Huyo...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Dr. Faustine Ndugulile naamini amepwaya pale mawasiliano, kasi ya mabadiliko ya teknologia ukilinganisha na uwezo wake kiubunifu kwenye ili eneo amepwaya kabisa. Waziri wa michezo Bashungwa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa hali ya siasa ilivyo kwa sasa CHADEMA wameshindwa kupata ajenda ya kuwafanya watanzania washawishike kuwa wao ni mbadala na hii ni kutokana na ukweli kwamba...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Siku kadhaa zilizopita, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo kwamba kutokana na meneja wa Tanroads wa Morogoro Godwin Andalwisye kufanya uzembe wa kutoyafanyia ukaguzi madaraja ya barabara ya...
20 Reactions
167 Replies
24K Views
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto amesema watu wengi wanasema Tanzania haitoi data, ambapo amesema data haina haja ya kutangazwa kila siku na Waziri, utakuwa ni ujinga mtupu...
7 Reactions
170 Replies
14K Views
Wanasiasa wakae pembeni watuachie wananchi tudai katiba yani Viongozi wa dini Asasi za kiraia Waandishi wa habari Wakulima Wafanya biashara Wafanyakazi Machinga, boda na bajaj Nk Kila kundi...
1 Reactions
6 Replies
977 Views
Back
Top Bottom