Wakuu pengine tujadili kidogo kua kwa nini Bunge kinawakumbatia wabunge wasio na sifa za ubunge.
Naibu spika wa bunge Dr. Tulia Ackson naona anawakumbatia wabunge hao.
Je, nini maoni yako? Tujadili hili.
Kama sijakosea wanapaswa kuitahalifu tume ya uchaguzi kwani wabunge hao wanpelekwa bungeni na tume tume itamwalifu sipika
U communist regime ni hovyo siku zote. Na huwa hazina maendeleo yoyote zaidi ya lugha za uzalendo uchwara . Wamechezea uchàguzi mkuu na bado wanataka kuwachagulia wapinzani wao ni nani wa kuwawakilisha !!. Hovyo kabisa .Wakuu pengine tujadili kidogo kua kwa nini Bunge kinawakumbatia wabunge wasio na sifa za ubunge.
Naibu spika wa bunge Dr. Tulia Ackson naona anawakumbatia wabunge hao.
Je, nini maoni yako? Tujadili hili.
Sio Ndugai ninaemjua mimi. Ndugai ni zaidi ya kichwa maji szani yupo tayari kufanya hivyo.Kuna habari kwamba Ndugai alishawaambia wale Covid-19 waende kuiangukia Chama chao cha awali ili waweze kupata baraka za Chama. Vinginevyo yeye hana uwezo tena wa kuwatetea. Hivyo atalitaarifu Bunge kuwa amepokea taarifa rasmi toka Tume ya Uchaguzi kuwa Wabunge wale wamepoteza sifa baada ya kufukuzwa Uwanachama kwenye Chama chao cha Siasa.
Wabunge wote wale mle bungeni wa viti maalum na wa majimboni akiwepo Nape aliyepita bila kupingwa hawana sifa. Kwahiyo kuweka Sawa ni kwamba uchaguzi urudiwe ndio tutapate wabunge wapyaWakuu pengine tujadili kidogo kua kwa nini Bunge kinawakumbatia wabunge wasio na sifa za ubunge.
Naibu spika wa bunge Dr. Tulia Ackson naona anawakumbatia wabunge hao.
Je, nini maoni yako? Tujadili hili.
Wakuu pengine tujadili kidogo kua kwa nini Bunge kinawakumbatia wabunge wasio na sifa za ubunge.
Naibu spika wa bunge Dr. Tulia Ackson naona anawakumbatia wabunge hao.
Je, nini maoni yako? Tujadili hili.
Mwanachama anakiri kufukuzwa, Naibu Spika ambaye sio mwanachama wa Chadema anakataa kuwa mwanachama hajafukuzwa....Tuvunje tu Bunge tuanze upya
Siyo kwamba anawakumbatia bali anatafuta legitimacy ya kuhalalisha Matokeo Ya Uchaguzi wa mwaka 2020 , kwa kifupi hao Covid_19 waliofosi kuingia bungeni wanatumika kama kihalalishi cha Uchafuzi wa October 2020.
Sasa Spika ni lazima awatetee kwa gharama yoyote ile kwa maslahi ya Serikali ya CCm
Hata hao wa ccm nao hawana sifa za kuwemo humo bungeni! Maana waliingia kwa wizi wa kura. Rais wa sasa nae aliingia madarakani na mtangulizi wake kwa matokeo ya mezani (ya tume)
Hivyo msiwahukumu tu hao 19! Kimsingi mfumo wa uchaguzi nchini ni wa hovyo. Tume Huru ya uchaguzi inahitajika haraka, ili kuondokana na hii sintofahamu inayo jirudia mara tu baada ya uchaguzi mkuu kufanyika.
Wabunge wote wale mle bungeni wa viti maalum na wa majimboni akiwepo Nape aliyepita bila kupingwa hawana sifa. Kwahiyo kuweka Sawa ni kwamba uchaguzi urudiwe ndio tutapate wabunge wapya