Nimeamini CCM huwa kitu kimoja kwenye maslahi yao binafsi

Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
4,423
9,962
Nimeamini kwenye maslahi CCM ni kitu kimoja, sasa hii itakuwa kazi kubwa kwetu kuanzia sasa kupambana na kuiondoa CCM na wataondoka tu.

Miezi michache iliyopita kulikuwa na bifu kubwa sana Kati ya Mataga(CCM ya mwendazake) na CCM asilia(ile ccm ya mafisi) , naiita CCM ya mafisi maana hata mwenyekiti wao kipindi hicho Jk aliita hivyo.

Hilo bifu limezikwa baada tu ya wanamageuzi wote nchini kuanza kudai katiba mpya, hapo ndio mpate jibu kuwa CCM kwenye maslahi huwa ni kitu kimoja.

Ukitaka kuamini hili angalia pia wakati wa uchaguzi mkuu uliopita wa 2020 waliungana nchi nzima kupita bila kupingwa, uchaguzi ulivyoisha bifu likaendelea.

Nilitegemea CCM Mataga kipindi hiki wangeungana na wanamageuzi wote kudai katiba mpya, ila ndio kwanza wamekuwa wapingaji wakuu wa katiba mpya tena kwa nguvu kubwa sana.

Wewe ona hata leo hii wote wameungana kupinga kauli ya kamanda mdude, ila tujiulize ni lini CCM waliwahi kuwa na staha?

Mwenyekiti wao wa sasa si ndio yule aliyesema Askari wao hawezi kupoga risasi 16 akakukosa, akipiga risasi tatu akikukosa basi hana kazi. Watasema ilikuwa kauli ya kisiasa, basi hata ya mdude ni ya kisiasa.

Makamanda popote mlipo bado nawaomba msichoke kumbukeni tumetoka mbali sana na tunakaribia kufika. Tumepita kwenye tawala za kila namna tulikuwa ngangari na pamoja hivyo tusikubali kuingia mtego wowote wa CCM.

Na hii inaonyesha wazi kuwa madai ya katiba mpya yana mashiko ndio maana unaona sasa hivi kila nyoka anatoka pangoni.

Katiba mpya kwanza
 
Unaona kabisa jinsi thread zinavyoanzishwa huku moja baada ya nyingine kupinga kauli ya Mdude unajua wazi hawa viumbe wametumwa, mpaka wengine wanakuja na gia ya kujitoa Chadema kama vile siku wanajiunga Chadema walituambia
 
Nimeamini kwenye maslahi CCM ni kitu kimoja, sasa hii itakuwa kazi kubwa kwetu kuanzia sasa kupambana na kuiondoa CCM na wataondoka tu.

Miezi michache iliyopita kulikuwa na bifu kubwa sana Kati ya Mataga(CCM ya mwendazake) na CCM asilia(ile ccm ya mafisi) , naiita CCM ya mafisi maana hata mwenyekiti wao kipindi hicho Jk aliita hivyo.

Hilo bifu limezikwa baada tu ya wanamageuzi wote nchini kuanza kudai katiba mpya, hapo ndio mpate jibu kuwa CCM kwenye maslahi huwa ni kitu kimoja.

Ukitaka kuamini hili angalia pia wakati wa uchaguzi mkuu uliopita wa 2020 waliungana nchi nzima kupita bila kupingwa, uchaguzi ulivyoisha bifu likaendelea.

Nilitegemea CCM Mataga kipindi hiki wangeungana na wanamageuzi wote kudai katiba mpya, ila ndio kwanza wamekuwa wapingaji wakuu wa katiba mpya tena kwa nguvu kubwa sana.

Wewe ona hata leo hii wote wameungana kupinga kauli ya kamanda mdude, ila tujiulize ni lini CCM waliwahi kuwa na staha?

Mwenyekiti wao wa sasa si ndio yule aliyesema Askari wao hawezi kupoga risasi 16 akakukosa, akipiga risasi tatu akikukosa basi hana kazi. Watasema ilikuwa kauli ya kisiasa, basi hata ya mdude ni ya kisiasa.

Makamanda popote mlipo bado nawaomba msichoke kumbukeni tumetoka mbali sana na tunakaribia kufika. Tumepita kwenye tawala za kila namna tulikuwa ngangari na pamoja hivyo tusikubali kuingia mtego wowote wa CCM.

Na hii inaonyesha wazi kuwa madai ya katiba mpya yana mashiko ndio maana unaona sasa hivi kila nyoka anatoka pangoni.

Katiba mpya kwanza
Ukitaka kuwatoa CCM pangoni dai Katiba mpya
 
siku wakianza kushughulikiwa na kiongozi wao kama mwendazake wanaanza tena kuwalilia wananchi..rejea Serukamba Peter; ccm watatuletea maafa nchi hii.
 
Nimeamini kwenye maslahi CCM ni kitu kimoja, sasa hii itakuwa kazi kubwa kwetu kuanzia sasa kupambana na kuiondoa CCM na wataondoka tu.

Miezi michache iliyopita kulikuwa na bifu kubwa sana Kati ya Mataga(CCM ya mwendazake) na CCM asilia(ile ccm ya mafisi) , naiita CCM ya mafisi maana hata mwenyekiti wao kipindi hicho Jk aliita hivyo.

Hilo bifu limezikwa baada tu ya wanamageuzi wote nchini kuanza kudai katiba mpya, hapo ndio mpate jibu kuwa CCM kwenye maslahi huwa ni kitu kimoja.

Ukitaka kuamini hili angalia pia wakati wa uchaguzi mkuu uliopita wa 2020 waliungana nchi nzima kupita bila kupingwa, uchaguzi ulivyoisha bifu likaendelea.

Nilitegemea CCM Mataga kipindi hiki wangeungana na wanamageuzi wote kudai katiba mpya, ila ndio kwanza wamekuwa wapingaji wakuu wa katiba mpya tena kwa nguvu kubwa sana.

Wewe ona hata leo hii wote wameungana kupinga kauli ya kamanda mdude, ila tujiulize ni lini CCM waliwahi kuwa na staha?

Mwenyekiti wao wa sasa si ndio yule aliyesema Askari wao hawezi kupoga risasi 16 akakukosa, akipiga risasi tatu akikukosa basi hana kazi. Watasema ilikuwa kauli ya kisiasa, basi hata ya mdude ni ya kisiasa.

Makamanda popote mlipo bado nawaomba msichoke kumbukeni tumetoka mbali sana na tunakaribia kufika. Tumepita kwenye tawala za kila namna tulikuwa ngangari na pamoja hivyo tusikubali kuingia mtego wowote wa CCM.

Na hii inaonyesha wazi kuwa madai ya katiba mpya yana mashiko ndio maana unaona sasa hivi kila nyoka anatoka pangoni.

Katiba mpya kwanza

Labda hapa:

IMG_20210704_143127_720.jpg

2. Tulizo mat.acle
3. Wanawake wanataka kupanuliwa
4. Wabakie na m@vi yao

Zipo nyingi mkuu.
 
"Politics is Who gets What, When and How"
Nukuu kukoka kitabu cha Introduction to Politcs cha mwandishi Nnoli Okwudiba.

Wanasiasa karibia wote wapo kwa masilahi yao tu. Maneno kwamba wanapigania masilahi ya wananchi ni mbwembwe tu za kutupumbaza ili watutumie kama madaraja ili wafikie matamanio yao
 
Umesema ukweri mkuu
 
Back
Top Bottom