CUF: Abdul Kambaya azindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika Wilaya ya Kinondoni

Jun 29, 2021
3
20
MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF, ABDUL KAMBAYA AZINDUA RASMI PROGRAMU YA UPANDISHAJI WA BENDERA KATIKA WILAYA YA KINONDONI


Leo tarehe 4 Julai, 2021 Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF, Abdul Kambaya amezindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika wilaya ya kinondoni.

Programu hiyo itafanyika katika majimbo mawili ya wilaya ya kinondoni ambayo ni Jimbo la KINONDONI na Jimbo la KAWE katika kila KATA.

Pia, Mjumbe wa Baraza kuu CUF amesisitiza tutafanya show road na tutapandisha bendera na wao polisi kama wanaweza kutuzuia basi tunataka watuzuie.

Pia, mjumbe wa baraza kuu amesema anasubiri tu kamati tendaji ya wilaya ya kinondoni ikae Kisha impe ratiba nzima ya programu ya upandishaji wa bendera na kazi ianze Mara moja.

Ratiba rasmi ya programu itawekwa hapa hivi punde.

Kinondoni Itajengwa na Wana kinondoni

IMG_20210704_131714_976.jpg
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,793
2,000
Wasaliti wengine hawa kama wale act wasaliti.
 

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,714
2,000
Kwenye mfumo wa serikali kuna wasebuleni na wachumbani?

Kama naona umuhimu wakatiba wakujiona huyu bora kuliko mwingine.

Shaka anadharau kiasi hiki.Rais mwinyi anajenga huku Shaka anabomoa.

Shaka wewe siyo hadhi yakujibu mapigo ya Rais kwa mjibu wa katiba ya Zanzibar
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom