Hayati Dkt. Omari Ally Juma alioa mwanafunzi wa kidato cha kwanza?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,368
Au sijasikia na kuona uzuri mie?

Naangalia TBC1 hapa naona Mke wa hayati Dkt. Omari Ally Juma anatoa historia,
  • Moja aliyoyasema eti alimchumbia akiwa ndogo sana na kufunga naye ndoa akiwa kidato cha kwanza.
  • La pili anasema alikuwa ni ndugu yake, mume ndugu.
  • La tatu, Dkt. Omari Ally Juma hakuwahi kuwa mwanasiasa na hakuwahi gombea cheo chochote kwenye maisha yake.
Jamani huyu mzee nadhani alikufa ghafla kwenye utawala wa Hayati Mkapa, ila ni msomi aliyesahaulika. Aliacha watotoTISA, daaaah Makamu alijitaidi sana shekhe wangu. Mbona hata watoto wake hawasikiki kokote, hata kwenye siasa za Zanzibari?

Tofauti na huku bara hata kama baba alizaa linyangurusi linabebwa hivyo hivyo ilimradi jina la babake lisipotee. Ndio kwanza leo namuona mke wake na watoto wake leo.
 
Au sijasikia na kuona uzuri mie?

La tatu, Dkt. Omari Ally Juma hakuwahi kuwa mwanasiasa na hakuwai gombea cheo chochote kwenye maisha yake.

Jamani huyu mzee nadhani alikufa ghafla kwenye utawala wa Hayati Mkapa, ila ni msomi aliyesahaulika.

Mbona hata watoto wake hawasikiki kokote, hata kwenye siasa za Zanzibari?

Unasema hakuwahi kuwa mwanasiasa, halafu unashangaa kwanini amesahaulika?
 
Au sijasikia na kuona uzuri mie?

Naangalia TBC1 hapa naona Mke wa hayati Dkt. Omari Ally Juma anatoa historia,

Moja aliyoyasema eti alimchumbia akiwa ndogo sana na kufunga naye ndoa akiwa kidato cha kwanza.
Hujafanikiwa kupata screenshot yake
 
Sasa huyo mjane alikuwaga wapi miaka yote mpaka leo ndio anaanza kujianika kwenye vijicamera uchwara
 
Au sijasikia na kuona uzuri mie?

Naangalia TBC1 hapa naona Mke wa hayati Dkt. Omari Ally Juma anatoa historia,

Moja aliyoyasema eti alimchumbia akiwa ndogo sana na kufunga naye ndoa akiwa kidato cha kwanza.

La pili anasema alikuwa ni ndugu yake, mume ndugu.

La tatu, Dkt. Omari Ally Juma hakuwahi kuwa mwanasiasa na hakuwai gombea cheo chochote kwenye maisha yake.

Jamani huyu mzee nadhani alikufa ghafla kwenye utawala wa Hayati Mkapa, ila ni msomi aliyesahaulika.

Aliacha watotoTISA, daaaah Makamu alijitaidi sana shekhe wangu.

Mbona hata watoto wake hawasikiki kokote, hata kwenye siasa za Zanzibari?

Tofauti na huku bara hata kama baba alizaa linyangurusi linabebwa hivyo hivyo ilimradi jina la babake lisipotee.

Ndio kwanza leo namuona mke wake na watoto wake leo.
Mpango wa kumwua president wa nchi jirani uliishia kumwua huyu mzee wetu.
 
huyu Dr.Omary ali Juma si nilisikiaga wajanja wa ccm walimtilia sumu kwenye msosi
au ni kahawa za vijiweni?
 
Alikuwa kaanyooka
Hakuwa mpigaji
Angejua angejiongeza
Tu familia ile bata

Ova
 
Au sijasikia na kuona uzuri mie?

Naangalia TBC1 hapa naona Mke wa hayati Dkt. Omari Ally Juma anatoa historia,
  • Moja aliyoyasema eti alimchumbia akiwa ndogo sana na kufunga naye ndoa akiwa kidato cha kwanza.
  • La pili anasema alikuwa ni ndugu yake, mume ndugu.
  • La tatu, Dkt. Omari Ally Juma hakuwahi kuwa mwanasiasa na hakuwahi gombea cheo chochote kwenye maisha yake.
Jamani huyu mzee nadhani alikufa ghafla kwenye utawala wa Hayati Mkapa, ila ni msomi aliyesahaulika. Aliacha watotoTISA, daaaah Makamu alijitaidi sana shekhe wangu. Mbona hata watoto wake hawasikiki kokote, hata kwenye siasa za Zanzibari?

Tofauti na huku bara hata kama baba alizaa linyangurusi linabebwa hivyo hivyo ilimradi jina la babake lisipotee. Ndio kwanza leo namuona mke wake na watoto wake leo.
Mtag na faiza foxy kab...
 
Back
Top Bottom