Enyi Wana-CCM, Rais Samia Suluhu anafahamu jinsi mlivyo wanafiki na vigeugeu

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,406
Mama siyo hamnazo (empty set ama clean slate) ana ufahamu na anawafahamu wanaccm. Anajua kwamba ninyi si watu wazuri, kwa unafiki na ukigeugeu hamjambo.

Kwa namna mlivyo geuka (u- turn) kutoka kuunga mkono sera za ukandamizaji za Magufuli hadi kuunga mkono sera za uungwana. Hakika nawaonya mama naye anawashangaa.
  • Mliimba sifa na mapambio ya kila aina kuunga mkono ukandamizaji.
  • Mlisimama kwa kusujudu kila majina yenu yalipotajwa na Magufuli.
  • Kuna mmoja mwanaume rijali kabisa (sikumbuki ni nani) alipiga magoti alipokuwa anapokea (sijui ni hela ile?). Nitaomba mwenye picha ailete hapa.
  • Mlitaka aongezewe muda madarakani (kinyume kabisa na katiba).
  • Huyu mama akiwa msaidizi wa rais (vp) mlimuona kama taka ktk jaa (huko bara mnaita jalala).
  • Mlikata mauno mbele ya rais (mnamkumbuka Lugola?) na kumlinganisha na Yesu ili kumfurahisha.
Yote haya mama aliyaona.

Leo mmegeuka na mnaimba yale yale kwa mama Samia mkijisahaulisha dharau zenu kwake akiwa VP. Mkidhani kashushwa toka sayari nyingine halafu akatua Tanzania na kuwa rais.

Mama naye zimo. Na ninaamini anatumia kauli mbiu ya Rais Mstaafu Kikwete ---"akili za kuambiwa, changanya na zako".
 
  • Mliimba sifa za mapambio ya kila aina kuunga mkono ukandamizaji.

Mama anawajua vizuri nanatawafurahisha
 
umehamia ccm?? Umehamia lini ccm??....kwann unaingilia vyama visivyo kuhusu?? Hakuna mdee ameqasy

Mtendo ya kishetani kabisa
 
Kweli mkuu.. CCM vigeu geu sana kama unavyowaona hapa kwenye picha. Kwa style hii ya unafiki uliyopitiliza mipaka kuna haja wa kuwaamini wanasiasa kweli ndugu yang?

images (12).jpeg

images (11).jpeg

images (10).jpeg

images (8).jpeg

images (7).jpeg
 
Back
Top Bottom