Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

KASULI

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
599
669
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

1.jpg
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatujasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
 
Ila watanzania tupo emotional yaani ni kazi rahisi sana kutuongoza maana unaweza kuwa unakaa kwenye apartment ya maana, unakula bata sana tuu na unaendesha gari yenye thamani ya vyumba vya madarasa.

Ila siku moja ukiamua unaenda na camera zako nyingiiii masoko ya mtaani huku zikikupiga picha kuwa unanunua muhindi wa 500 na umevaa jezi za kawaida huku ukipiga story na wale wauzaji. Automatically unapata loyalty ya watu wengi wa kipato cha chini na wanakuona mmoja wao
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatunasema rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.

Yani kwa lugha nyingine tunasema hiyo ofisi ni chafu, hayo ma document yamepangwa hovyo sana hapo wakati naamini kuna watu wanalipwa mishahara na wamesomea kazi ya utunzaji wa ofisi

Kwa ninavomfahamu Magufuli hasomi files zote hizo kwa siku moja au tatu, ameweka tu hapo kwa ajili ya jambo lake
 
ila watanzania tupo emotional yaani ni kazi rahisi sana kutuongoza maana unaweza kuwa unakaa kwenye apartment ya maana, unakula bata sana tuu na unaendesha gari yenye thamani ya vyumba vya madarasa.

Ila siku moja ukiamua unaenda na camera zako nyingiiii masoko ya mtaani huku zikikupiga picha kuwa unanunua muhindi wa 500 na umevaa jezi za kawaida huku ukipiga story na wale wauzaji. Automatically unapata loyalty ya watu wengi wa kipato cha chini na wanakuona mmoja wao
Hii reply ibandikwe juu kila mtu aione.
 
Mimi ninachojiuliza ni hiki, hivi jana ndio mara yake ya kwanza kupigiwa simu akiwa ofisini?
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Kuweka haya mapicha ni kazi ya kitengo maalum Cha habari, wanaitwa "spin doctors"kunapokuwepo na mambo yasio mazuri yanaoyoendelea nchini. Kama kuminywa kwa demokrasia, kuhonga na kuvuruga vyama vya upinzani, wakosoaji kutishiwa maisha, TRA kufunga na kuchukua pesa za watu binafsi, furaha imetoweka kwenye mioyo ya Watanzania.

Hiki kitengo huleta taarifa Ili iwafanye wananchi wasiendelee kujadili uozo unaoendelea hapa nchini na hii technic hutumiwa hata na vyombo vya habari na watu binafsi.

Diamond kapiga sing na koffie, song limebamba dunia nzima, Wakenya wakaona wivu, wakaona watupie clip ya Koffie akimpiga mnenguaji wake, tukio limetokea miaka minne iliyopita, kwanini sasa hivi liongelewe, kwanini halikuongelewa mwezi wa Tisa, kumi?
Song la whaaa limetoka!? Mara paaaaap, clip ya Koffie hiyo!!!
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Hivi wewe ulishabahatika kuona ofisi ya Rais wa Somaliland? Yaani ofisi ina kiti meza kalamu na kaunta buku na ukutani kaning'iniza tathibiri tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom