Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu turudishie CCM kwenye misingi yake

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,006
2,000
Leo CCM inalaumiwa eti inaua watu, yaani mambo ya wasiojulikana. Hii haijawahi kuwa msingi wa CCM

CCM inaonekana inaogopa wapinzani, suala la kununua wapinzani. Hatuna CCM ya namna hii kwenye misingi yake

CCM inatajwa kila pahala eti inaibaga kura, uchaguzi uliopita Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu. CCM kama hii haipo Tanzania kwenye misingi ya CCM

CCM inahimiza wapinzani wafanye siasa za kisayansi na za kistaarabu, ni mara ngapi sisi CCM tumekosa ustaarabu na sayansi ya siasa, hadi tunatia kinyaa?

Yaani inakuwa mtu anayetangaza amani huku kaweka panga mfuko wa nyuma.

Waliopo ndani ya CCM hawawezi kukosoa wala kusema vibaya chama kwa kuhofia vyeo vyao. Sisi tusio na hio hofu acha tuseme. Kuanzia sasa na kuendelea na sisi CCM huru / CCM msingi tutaendeleza vuguvugu hili la kuidai CCM msingi inayoishi kwenye misingi ya 'CCM'. Tutatumia kila aina ya mitandao kuidai hii CCM.

Hatutaki CCM ionekane kama kimbilio la uteuzi, kimbilio la kuganga njaa. Wanaopigania chama usiku na mchana wanaachwa solemba na vyeo kupewa wahamiaji. Hapana. This is no more!

Ki ukweli CCM ya nyakati hizi ni CCM nyingine sio ile yenyewe hasa ya 'Jembe na Nyundo'. Hii si CCM ya kufanya mapinduzi. Vilio vya ajira kila kona ya nchi, CCM ipo kimya haina mipango inayoeleweka.

CCM ni chama cha Mapinduzi. Ni chama cha kufanya mapinduzi at any time katika kujenga nchi. Hata kabla ya vuguvugu la Katiba CCM tulipaswa kuleta katiba mpya maana CCM inaona mbali miaka 100 zaidi kuliko wapinzani. CCM sio ya kutumia nguvu bali sayansi ya siasa.

CCM ina rangi ya kijani, alama ya Jembe na Nyundo kuashiria amani, furaha, upendo, uchapakazi kwa kila mtu.

Mwenyekiti wetu, Mh. Samia tunaomba CCM yetu asili tuwakabili wapinzani squarely hoja kwa hoja.

Hatuhitaji tena msaada wa mamlaka za ki dola bali tunahitaji mamlaka ya ki chama tucheze ngoma za kisiasa na hawa jamaa zetu wa upinzani.

UVCCM kujitokeza na kusema Katiba Mpya sio muhimu nako ni kukosa kuelewa siasa za nyakati.

Wakati, wapinzani wakiendesha vuguvugu la katiba Mpya na sisi CCM msingi / CCM huru / CCM damu tunataka kuanzisha vuguvugu la kudai CCM msingi, maana CCM hii sio ile ya akina Nyerere, sio ile ya akina Kawawa, hii ni 'pure CCM JAZA TUMBO'. Hatuitaki hii CCM inayoogopa kula sahani moja na wapinzani kwenye majukwaa ya kisiasa! CCM inayosemwa ni wepesi kama pamba bila msaada wa ki polisi. Tunaanza harakati za kuitafuta CCM yetu. Tutafanikiwa tu.

Hatutaki CCM yenye kuonekana CCM haramu. Tutaipigania CCM asili na kuhama hatuhami.

CCM ndio iliyoruhusu siasa za upinzani iweje sasa tuonekane tunawaogopa?.

#VuguvuguCCMmsingi
#VuguvuguCCMmsingi
#VuguvuguCCMmsingi
#VuguvuguCCMmsingi
 
Abby Newton

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
1,229
2,000
CCM ya JK ilikuwa dhaifu sana kiasi kwamba CHADEMA walikuwa wanatembea km mashabiki wa Yanga.
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
4,026
2,000
Naona unatazama CCM kama Askari qanaolinda mipaka, CCM ni chama cha siasa sio askari. Udhaifu wa CCM ni upi na uimara wake ni upi?
Ni lini CCM hakutuhumiwa kuiba kura? Tangia 95 kuna tuhuhuma za kuiba kura, tangia miaka hiyo wasiojulikana walikuwepo walikanda Dr. Ulimboka na wakamfyeka Daudi Mwangosi..!!

Utofauti wa CCM ya Kikwete ilikuwa dhaifu sana afadhari CCM ya Magu ilikuwa na uhakika labda kutokana na mtu aliyepo juu pale..!! Binafsi naanza kupiga kura mwaka 2015 sikupigia Magufuli kwasababu naipenda CCM ila nilikuwa na imaninae yeye kama yeye kwamba ni mtu kazi ila sijawah kumiliki kadi ya CCM mpaka leo.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,522
2,000
Wewe ni aina ya CCM wenye akili
CCM ya Napd na Kinana ilikuwa insjibu hoja kwa hoja, CCM hii ya Shaka na mwenzie nani sijui hata nina lake wanategemea virungu vya polisi viwanyamzishe wapinzani!
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
31,816
2,000
Leo CCM inalaumiwa eti inaua watu, yaani mambo ya wasiojulikana. Hii haijawahi kuwa CCM

CCM inaonekana inaogopa wapinzani, suala la kununua wapinzani. Hatuna CCM ya namna hii

CCM inatajwa kila pahala eti inaibaga kura, uchaguzi uliopita Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu. CCM kama hii haipo Tanzania

CCM inahimiza wapinzani wafanye siasa za kisayansi na za kistaarabu, ni mara ngapi sisi CCM tumekosa ustaarabu na sayansi ya siasa, hadi tunatia kinyaa?

Yaani inakuwa mtu anayetangaza amani huku kaweka panga mfuko wa nyuma.

Waliopo ndani ya CCM hawawezi kukosoa wala kusema vibaya chama kwa kuhofia vyeo vyao. Sisi tusio na hio hofu acha tuseme. Kuanzia sasa na kuendelea na sisi CCM huru / CCM msingi tutaendeleza vuguvugu hili la kuidai CCM msingi inayoishi kwenye misingi ya 'CCM'. Tutatumia kila aina ya mitandao kuidai hii CCM.

Hatutaki CCM ionekane kama kimbilio la uteuzi, kimbilio la kuganga njaa. Wanaopigania chama usiku na mchana wanaachwa solemba na vyeo kupewa wahamiaji. Hapana. This is no more!

Ki ukweli CCM ya nyakati hizi ni CCM nyingine sio ile yenyewe hasa ya 'Jembe na Nyundo'. Hii si CCM ya kufanya mapinduzi. Vilio vya ajira kila kona ya nchi, CCM ipo kimya haina mipango inayoeleweka.

CCM ni chama cha Mapinduzi. Ni chama cha kufanya mapinduzi at any time katika kujenga nchi. Hata kabla ya vuguvugu la Katiba CCM tulipaswa kuleta katiba mpya maana CCM inaona mbali miaka 100 zaidi kuliko wapinzani. CCM sio ya kutumia nguvu bali sayansi ya siasa.

CCM ina rangi ya kijani, alama ya Jembe na Nyundo kuashiria amani, furaha, upendo, uchapakazi kwa kila mtu.

Mwenyekiti wetu, Mh. Samia tunaomba CCM yetu asili tuwakabili wapinzani squarely hoja kwa hoja.

Hatuhitaji tena msaada wa mamlaka za ki dola bali tunahitaji mamlaka ya ki chama tucheze ngoma za kisiasa na hawa jamaa zetu wa upinzani.

UVCCM kujitokeza na kusema Katiba Mpya sio muhimu nako ni kukosa kuelewa siasa za nyakati.

Wakati, wapinzani wakiendesha vuguvugu la katiba Mpya na sisi CCM msingi / CCM huru / CCM damu tunataka kuanzisha vuguvugu la kudai CCM msingi, maana CCM hii sio ile ya akina Nyerere, sio ile ya akina Kawawa, hii ni 'pure CCM JAZA TUMBO'. Hatuitaki hii CCM inayoogopa kula sahani moja na wapinzani kwenye majukwaa ya kisiasa! CCM inayosemwa ni wepesi kama pamba bila msaada wa ki polisi. Tunaanza harakati za kuitafuta CCM yetu. Tutafanikiwa tu.

Hatutaki CCM yenye kuonekana CCM haramu. Tutaipigania CCM asili na kuhama hatuhami.

CCM ndio iliyoruhusu siasa za upinzani iweje sasa tuonekane tunawaogopa?.

#VuguvuguCCMmsingi
#VuguvuguCCMmsingi
#VuguvuguCCMmsingi
#VuguvuguCCMmsingi
CCM ya sasa haina tofauti na Bokoharam. CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
 
juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,644
2,000
Angarau wewe unaonekana kujielewa ila nakuonea huruma.ngoja waje wenzako bendera fuata upepo.watakuvurumishia mvua ya matusi na utaambiwa wewe ni Chadema.japo issue ya kuiba kura hiyo ipo miaka yote tangu 1995.sema tu wametofautiana namna ya wizi.ila mzee Magu yeye hakuiba kura bali alijirundikia kura..
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
4,462

Mmmmmh wewe utakuwa mwanasisiemu wa pembeni sio kindakindaki.
 
yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,128
2,000
kweli muda huponya na watu husahau/kujisahaulisha, mleta mada ni uchaguzi gani tangu 95 ccm haijawahi tuhumiwa kuiba kura? ni utawala gani ccm haijawahi teka watu na kuua? au we ni mgeni wa siasa za tanzania?
 
CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,006
2,000
CCM ya sasa haina tofauti na Bokoharam. CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
Huu mtazamo ndio hatutaki, ndo tunataka kuondoa.

CCM iwe kama shule ya kufundisha namna siasa inavyoendeshwa na sio km boko haram
 
CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,006
2,000
kweli muda huponya na watu husahau/kujisahaulisha, mleta mada ni uchaguzi gani tangu 95 ccm haijawahi tuhumiwa kuiba kura? ni utawala gani ccm haijawahi teka watu na kuua? au we ni mgeni wa siasa za tanzania?
Uzi umesoma kweli? Yawezekana umesoma, vipi kweli umeelewa? Nina uhakika hujaelewa, hebu rudia kusoma
 
CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,006
2,000
Angarau wewe unaonekana kujielewa ila nakuonea huruma.ngoja waje wenzako bendera fuata upepo.watakuvurumishia mvua ya matusi na utaambiwa wewe ni Chadema.japo issue ya kuiba kura hiyo ipo miaka yote tangu 1995.sema tu wametofautiana namna ya wizi.ila mzee Magu yeye hakuiba kura bali alijirundikia kura..
Siwaogopi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom