Watanzania tuwe makini sana na watu kama Dkt. Diallo. Ni watu wa maslahi zaidi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,353
11,497
Inawezekana kwa kuwa tuna ugomvi na chuki na Magufuli kila ambaye atakuja msema vibaya tutamwona ni shujaa. Lakini tujiulize "Dr. Diallo alikwii?"

Je Dr. Diallo kweli ana moral authority ya kumsema vibaya Magufuli? Huyu Diallo ukiangalia anacholalamika si kwamba watanzania wamefanyiwa hivi au vile. analalamika kwa kuwa kampuni zake zilitakiwa kulipa kodi ambayo zilikuwa hazilipi.

Hiyo ndiyo chuki yake. Analalamika kwa kuwa alimpigia Kampeni Magufuli lakini hakuja pewa Upendeleo. Utaona ni mbinafsi mwanzo mwisho.

Lakini alikuwa wapi? "Alikwii?" Hawa wanafiki wasiwaaimbishe mapambio mapya kipindi hiki wakitengeneza mazingira ya kukumbukwa na rais aliyepo. Ni wanafiki tu hawa.

Screenshot_20210711-235501~2.png
 
Ukweli umekuchoma kwa moyo. Wewe ndiye wa maslahi. Diallo ni msema mweli, kipenzi cha Mungu. Kichaa alijikuta Ikulu watu wanauawa, wakafungwa, wakanyang'anywa pesa zao kwenye mabenki.

Mwigulu amesema watarudishiwa. Na Samia kawaachia wengine waliokuwa wamesingiziwa kesi. Nasema uongo, ndugu yangu?
 
Ukweli umekuchoma kwa moyo. Wewe ndiye wa maslahi. Diallo ni msema mweli, kipenzi cha Mungu. Kichaa alijikuta Ikulu watu wanauawa, wakafungwa, wakanyang'anywa pesa zao kwenye mabenki. Mwigulu amesema watarudishiwa. Na Samia kawaachia wengine waliokuwa wamesingiziwa kesi. Nasema uongo, ndugu yangu?
Mama anaupiga mwingi sana 😂😂😂😂sasa hivi Diallo anaupiga mwingi. Uchaguzi ungekuwa unafanyika mwaka huu Diallo angeteuliwa na wapinzani uchwara kugombea kama rais.
 
Tulia dawa ikuingie vizuri. Brainswashing ikutoke... Kama unatakuzikwa na dikteta uchwara, kula sumu tukakuzike. Unajichekesha kama muuza nanihilu... kwenye vilabu vya pombe za kienyeji.
Mama anaupiga mwingi sana 😂😂😂😂sasa hivi Diallo anaupiga mwingi. Uchaguzi ungekuwa unafanyika mwaka huu Diallo angeteuliwa na wapinzani uchwara kugombea kama rais.
 
Wala huna haja ya kuwaambia watu kuwa Dialo ni nani, wengi wanamfahamu, alijitoa sana kupitia vyombo vyake vya habari kumnadi Meko 2015!!na ndio wale wale tu , kwa sasa tujadili hoja hiyo aliyoitoa je ina mashiko?

Bila shaka ndio ukweli wenyewe huo, hata mkitumia nguvu kubwa kumshambulia lakini ujumbe umefika, na msifikirie labda ni yeye tu, huko nyuma kuna wengi sana wenye mawazo kama hayo, wewe unadhania mtizamo wa KINANA, NAPE, MAKAMBA, licha ya kuomba msamaha kipindi kile, misimamo yao ilibadirika?!!

JAMANI LEGACY ya MEKO, imeshafutika na kila siku inazidi kupotea kabisa kutokana na watu kama kina Dialo.Sasa ikitokea mtu akamsema vibaya mwendazake basi huyo alikuwa mwizi!!
 
Tulia dawa ikuingie vizuri. Brainswashing ikutoke... Kama unatakuzikwa na dikteta uchwara, kula sumu tukakuzike. Unajichekesha kama muuza nanihilu... kwenye vilabu vya pombe za kienyeji.
Mama anaupiga mwingi sana 😂😂😂😂sasa hivi Diallo anaupiga mwingi. Uchaguzi ungekuwa unafanyika mwaka huu Diallo angeteuliwa na wapinzani uch
 
Wala huna haja ya kuwaambia watu kuwa Dialo ni nani, wengi wanamfahamu, alijitoa sana kupitia vyombo vyake vya habari kumnadi Meko 2015!!na ndio wale wale tu , kwa sasa tujadili hoja hiyo aliyoitoa je ina mashiko?...
Mama anaupiga mwingi sana 😂😂😂😂sasa hivi Diallo anaupiga mwingi. Uchaguzi ungekuwa unafanyika mwaka huu Diallo angeteuliwa na wapinzani uchGaguzi ungefanyika mwaka huu.

Mama aendelee kuupiga mwingi, Diallo aendelee kuupiga mwingi. Na wapinzani nao washangilie kwa kupigiwa mwingi.
 
CCM yote ni chama cha masllahi ukipembua labda utapata watu kama 7 tu, chama chote nchi nzima, siyo watu wa maslahi, anzia wenyeviti mitaani, madiwanu, wabunge, DC, RC, wajumbe...

Everyday is Saturday...............................😎
 
Back
Top Bottom