Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,565
- 15,920
Kagame bana. Ni Rais mmoja mnafiki sana kuishi nae. Waganda , wacongomani ,warundi wananielewa namaanisha nini.
Hayati magufuli mwanzo wakati anaingia ikulu alidhani Kikwete alikua mjinga lakini baada ya muda alifanikiwa kuona rangi halisi za Rais wa Rwanda.
Sasa namshauri Mheshimiwa Rais Samia kukaa mbali sana.na huyu mtu ni hatari na hana "common goals " na mjirani zake.angetamani sana Tanzania iwe ndio Rwanda. Kana ubinafsi wa kichini chini sana. Akae mbali na maendeleo ya Tanzania.