TRA Kufungwa akaunti za Wafanyabishara VS Waziri Kutoza wananchi kodi ya uzalendo ni bora lipi?

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,165
2,000
Mwanzoni mwa utawala wa awamu ya sita ulisifika sana na ukionyesha Tumaini jipya kwa watanzania.

Wengi walienda mbali na kudai hata kuongezewa muda sababu amewafungua watu toka kwenye mateso. Kafungulia wabambikiwa kesi wote,kalegeza baadhi mambo ambayo mtangulizi wake alikuwa amekomaa nayo.

Serikali ya awamu ya 5 kupitia TRA ilifunga akaunti nyingi za wafanyabishara na hata kuchukua pesa zilizopo ndani yake.

Awamu hii ya sita ilisifika mwanzoni sana na hata wengi wakasema "Mama anaupiga mwingi sana" sasa imeanzisha kodi ya uzalendo, yani kila mmiliki wa simu atachangia pesa atakaponunua vocha na kutuma na kutoa pesa kwa ajili ya kujenga barabara.

Swali: ni serikali gani bora mpaka sasa?
A. JPM (awamu ya 5)
B. SSH(awamu ya 6)

Kweli nimeamini kumtegemea mwanadamu ni mtego mkubwa sana,kesho yupo kesho kutwa hayupo.
 

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
4,815
2,000
Wote sawa hii nchi serikali ilikuwa moja tu ya Nyerere.
Mkapa alijatahidi
Mkwere ,Samia na mwinyi wa zembe kupita kiasi
JpM tuliishajibiwa na dialo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom