Tunapolalamikia Tozo za Miamala tukumbuke Ndugulile naye ameshatuletea "Airtime Levy" kwenye Vocha za simu

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Wakati mnalalamika na tozo mpya katika MIAMALA ya simu, Dk. Faustine Ndugulile anatuletea kitu kinaitwa "AIRTIME LEVY".

So far inaonekana Mitandao ya mawasiliano ndo Sekta iliyokuwa kwa aharaka sana na imechangamka. Imeonekana ndo sehemu sasa ya kukamua fedha kwa Mgongo wa neno "Tozo' sababu"KODI" imeshawekwa lakini haiwatoshi.

Bado najiuliza , Ni nini logic ya kupunguza kodi kwenye VILEO?

E6aANMrXEAAller.jpg


On the levy on mobile money transaction, the minister said that in sending the money one will pay 10/- in any transaction valued at 1,000/- to 2,000/-, and be charged 300/- for transactions starting from 10,000/- to 15,000/-. Sending 30,000/-or above on mobile means invites an extra charge or 1,000/- while sending 5m/- and above fetches a 10,000/- levy.

The charges were made under the amended Electronic and Postal Communications Act, CAP 306 in the Finance Bill for 2021/2022 for mobile money transaction of sending and withdrawing cash where the government intends to collect the hefty sum of 1.254trn/-.

If the money is sourced to capacity, it will be allocated to financing projects for the Tanzania Rural and Urban Roads Agency (TARURA), construction of the Standard Gauge Railway (SGR) and the Rural Water Supply and Sanitation Agency (RUWASA), he stated.

Soma: Minister explains airtime charges, Budget is passed
 
Back
Top Bottom