Habari!
Hii mada haina uhusiano na uchochezi.
Watanzania ni vyema tukapigania utawala wa haki na misingi ya katiba tuliyonayo kabla hatujaisaka katiba mpya. Kama tuna viongozi ambao kwa mamlaka...
Ndugu zangu tupo vitani kwa Sasa, Vita hii ni Kati ya watawala wanaolishwa na Kodi zetu dhidi ya watawaliwa. Familia chache zinazotawala nchi hii zimetuletea Kodi kubwa pamoja na tozo huku...
Wasalaam.
Watanzania wenzangu tumechagua viongozi/ kuchaguliwa viongozi bado sisi ndio tunaowafundisha namna ya kutuongoza. Hili ni kosa kubwa mno na ndio maana haya ya tozo, kukamatwa watu huko...
Habari za usiku wakuu.
Nashangazwa sana na namna serikali inavyozuia shughuli za kiuchumi kwa kigezo cha kukuza uchumi.
Mfano mzuri ni kuzuia kongamano la chadema mkoani mwanza, serikali...
Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi..
Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani..
Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri...
Mwigulu jifunze hapa,
Kuliko kuwabebesha mzigo wa misumari Kodi wananchi wakawaida na hali ya chini ambao mobile money ndo tegemezi kwao ungeekeza nguvu kwenye utalii. Tanzania inavivutio vingi...
Tozo iwe tsh 500 kwa kila muamala itafikia lengo la makusanyo ya 1.254tr. (Bajeti ya serikali 2021/22) mapato yanayotegemewa kupatikana na tozo ya miamala.Kutegemea na idadi ya miamala iliyokuwa...
"Wabunge waliochaguliwa na wananchi hawawezi kukaa kwenye bunge linalowaongezea wananachi gharama kila siku. Wabunge wa wananchi siku zote wanajitahidi kuibana serikali ipunguze gharama za maisha...
Wakati unamkosoa mwanasiasa yoyote usitumie neno AIBU au HAYA. Mwanasiasa akibadilisha msimamo au gia angani ni kwa sababu ameona hiyo itakuwa na manufaa mkubwa kwake kwa kipindi hicho na...
Badala ya raia kulalamika mitandaoni na kutengeneza memes kwa sheria na tozo zinazopitishwa na bunge ambazo wananchi wengi wanaona ni kandamizi au tata kama hii ya uzalendo na mfuko wa mshikamano...
Je, wajua Ukiwa mtu mwenye HALI ya chini hasa unayetumatuma kati ya 5000/= mpaka 100,000/= , ndo unaathirika zaidi na hizo tozo kuliko mtu mwenye HELA!... (Tazama Jedwali hapo chini!)
Kwanini...
Kwa nchi yetu ilikofika
Inahitajika katiba mpya kwa mstakabali wa nchi yetu
Tumeona mambo yanaenda ndivyo sivyo katika sekta tofauti tofauti hasa kwenye maamzi ya Baadhi ya viongozi
Kuna...
Thadei Ole Mushi
TUSIFUNGE MJADALA WA MSHAHARA WA MBUNGE.
Na Thadei Ole Mushi.
Kuna Msaidizi mmoja wa Mbunge Kanitumia document hizi ili kufanya Clarification zaidi kwa jamii kuhusu Mishahara ya...
Serikali ya awamu ya nne chini ya Mh. Kikwete ilitumia fedha nyingi (billions of Tanzania shillings) kuchakata katiba mpya. Baadaye mchakato ulipopamba moto na kugusa maslahi binafsi ya wachache...
Bei ya mafuta imepandishwa, Bei ya nauli imepandishwa, ada ya miamala imeongezeka nk, nk, nk na bado, yajayo yanachukiza!!!
Hii inathibitisha kuwa serikali ipo kwa ajili ya kumkamua mtu kiuchumi...
Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu, hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu -- tatizo ni nini?
Na kila siku tunajilabu tuna...
Kutokana na dhulma ya serikali iliyoko madarakani kwa kutaka kutopora pesa kwenye huduma za kutuma na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu,kuanzia Leo nimejiondoa kwenye huduma za M pesa.Na kwakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.