Tambua kwamba: Ahadi za wanaChama Wa Chama Cha Mapinduzi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,886
938
TAMBUA KWAMBA:-

πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°

AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI

(1) Binadamu wote ndugu zangu na Afrika ni Moja.

(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote.

(3) Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.

(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.

(5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala Cha mtu mwingine kwa faida yangu.

(6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.

(7) Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.

(8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.

(9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania.

πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°

KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI 1977, Toleo la 2017, NYONGEZA 'A', AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI.

Imeandaliwa na kutumwa na Cde Kaisi M. Mohamed, Julai 2021.​
 
Mbona huwa inatekelezwa kinyume na ahadi yenyewe.
Nitatumia dola kwa wale wanaonikosoa.
 
TAMBUA KWAMBA:-

AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI

(1) Binadamu wote ndugu zangu na Afrika ni Moja.

(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote.

(3) Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.

(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.

(5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala Cha mtu mwingine kwa faida yangu.

(6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.

(7) Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.

(8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.

(9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania.

KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI 1977, Toleo la 2017, NYONGEZA 'A', AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI.

Imeandaliwa na kutumwa na Cde Kaisi M. Mohamed, Julai 2021.​
IMG-20210716-WA0180.jpg
 
Back
Top Bottom