Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu Adi, hiki ulichoandika mbona ni maneno matupu tu bila shuhuda/facts zozote? Kama mmoja wa wahitimu wa UDSM kwa miaka ya hivi karibuni, nadhani kuna mambo unachanganya hapa kwa makusudi au...
0 Reactions
1 Replies
776 Views
"Katiba ya Marekani ya Mwaka 1789 iliandika ‘all men are created equal’ lakini bado miaka 180 baadaye bi. Rosa Park alitakiwa kumpisha kiti dume la kizungu! Katiba inaweza kuweka ‘statement’...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Nakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba. Kwa kifupi sana: Naomba uitazame upya hii kodi ya kizalendo kwenye Sadaka zetu tunazomtolea Mungu mwenyezi kwa njia ya miamala ya simu hasa siku...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hili neno muasisi wake ni Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta. Alisikika mara nyingi akisema “Usilete ***** *****”. Mtu mmoja aliyeonekana kuleta sana ***** ***** wakati wa Jomo Kenyata ni Tom...
11 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza jana (tar.17/07/21) nilipata joto halisi la ongezeko la kodi katika miamala ya simu za mkononi. Niliumia sana kwani nilishindwa kutoa kiwango fulani cha pesa kwa ukosefu wa hela...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa hali inavyoenda katiba mpya hatuwezi kuipata kirahisi labda tukomae kama wakenya walivyokomaa. Tujikite kujenga ofisi ya makao makuu. Tunazo rasilimali nyingi na michango ya kidigital...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Kodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali. Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Ikumbukwe kwamba siku ya Jumamosi ya 17/7/2021 lile Kongamano kubwa kabisa la Katiba mpya litafanyika Jijini Mwanza , Tunawashukuru Chadema na wadau wote waliowezesha Makongamano haya kufanikiwa ...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
July 15, 2021 Winshear Gold Corp. (TSX-V: WINS) (“Winshear” or the “Company”) reports that it has filed its Memorial with ICSID (The International Centre for Settlement of Investment Disputes), a...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa BAVICHA-Taifa, John Pambalu amesema wanachadema waliokamatwa ni 128 wengi wao hawakukamatwa eneo la kongamano. Amesema Askofu Rwemaus Mwamakula, Dkt. Azavei Lwaitama na Twaha...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
CCM inazidi kuanguka na sasa wananchi walio wengi zaidi ya uchaguzi uliopita, wameshaliona hilo kuwa CCM haina maslahi na wananchi zaidi ya wale walio kwenye viti na meza ambao hutembea na ladu na...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Wabunge ni wawakilishi wetu. Tumewapeleka wakaisimamie serikali kwa niaba yetu. Kama wawakilishi wetu wamekubali maana yake tunaowakilishwa tumekubali. Kama hawa wawakilishi wameenda kukubali...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Tanzania iko kwenye tanzia, ikiomboleza kifo cha tozo-stahimilivu na kufufuka kwa tozo-kandamivu kwenye miamala ya mitandao ya simu. Naam, tumefikia zama ambazo ukiona meseji ya M-pesa inabidi...
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Jamani rais wetu siyo dhaifu Mnyika anamwonea tu. Rais wetu mnamwonea bure tu kwani hata sababu ya nchi yake kuwa maskini hajui. Sasa atawezaje kupanga bajeti nzuri. Tumwache rais wetu aishi kwa...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Nilipokua mdogo naanza kupata ufahamu na kujitambua nilipitia haya: Umeme usio wa uhakika Maji yasio ya uhakika Elimu ya kusuasua Huduma bora ya afya kwa matabaka Miundombinu ya wasiwasi Ahadi za...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
UCHUMI NA BIASHARA: Kwakweli serekali ya Tanzania ya awamu ya sita Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza inatakiwa kuwa utawala Bora siasa safi, Amani ya kwa wote usawa, ukusanyaji wa kodi ,elimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkakati mpya ambao ni mbadala wa makatazo ya CCM na Polisi kwenye kampeni takusisimua akili za Watanzania juu ya katiba mpya vijana wa vyuo vikuu Mwanza leo wameendesha kampeni ya kutoa elimu...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Budget imesomwa jana na Waziri wa Fedha asiye na ubunifu, mwenye akili chovu mchama na si mtanzania. Kama Uchawi upo na unafanya kazi Mganga wa Mwigulu ni wa kujengewa Sanamu katikati ya Jiji...
17 Reactions
75 Replies
5K Views
Mimi ni Mwana CCM nimejaribu Kuwaza kwa mtazamo wangu na pia kumpunguzia Majukumu ya kichama Rais badala yake yeye awe tu Mjumbe anayeingia moja Kwa Moja kwenye maamuzi ya kichama. Huu ni mtazamo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom