Wanachama 6 wa CHADEMA mbaroni kwa kuchoma moto Ofisi ya Serikali ya Mtaa Tunduma - Songwe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,949
141,930
Wafuasi 6 wa Chadema wilayani Momba mji wa Tunduma wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma moto ofisi mbili za serikali za mitaa na kumtishia kifo diwani

Hata hivyo DC Kulandaka waMomba amemtaka duwani huyo kutowaogopa hao Bavicha na aendelee kuchapa kazi serikali inamlinda

Source: ITV habari
 
Hayo sii matokeo ya kuharibi msingi wa ofisi zap kweli.
 
Wafuasi 6 wa Chadema wilayani Momba mji wa Tunduma wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma moto ofisi mbili za serikali za mitaa na kumtishia kifo diwani

Hata hivyo DC Kulandaka waMomba amemtaka duwani huyo kutowaogopa hao Bavicha na aendelee kuchapa kazi serikali inamlinda

Source: ITV habari
CCM wamechoma ofisi zao wanasingizia wafuasi wa CHADEMA!

Bado sisi tunasema tozo la simu ni unyang'anyi!
 
Huenda ni agents provocateurs, mchezo umepangwa makusudi ili kudeligitimize madai ya katiba mpya kwa kisingizio cha kuthibiti hali ya ulinzi na usalama.

Kwa nini waanzie kwenye ngome ya Upinzani huko Tunduma

TISS acheni michezo ya kitoto hii, Watanzania tumeshaerevuka sana
 
Kwenye mji wa Tunduma wafuasi wengi wa Chadema walikamatwa kutokana na uchaguzi wa mwaka jana...

Baadhi wametoka ila wengi bado wako ndani, kuna tetesi wanakaribia kutoka karibuni.

Sasa wale wahafidhina wa chama tawala wale waliofurahishwa ama kusababisha wanachadema kuwekwa ndani.. wanaonekana kutofurahishwa na hizo taarifa..

Hivyo inasemekana yanatengenezwa mazingira ionekane hao watu hawana sifa za kuachiwa huru.

Inasemekana lakini...
 
Wafuasi 6 wa Chadema wilayani Momba mji wa Tunduma wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma moto ofisi mbili za serikali za mitaa na kumtishia kifo diwani

Hata hivyo DC Kulandaka waMomba amemtaka duwani huyo kutowaogopa hao Bavicha na aendelee kuchapa kazi serikali inamlinda

Source: ITV habari
Kitatafsiriwa kama chamba cha fujo

Hivi nimeona kama kuna mtu amerudi nyumbani

Sina hakika kama ilikuwa siku ya pambano la watani wa jadi!

1.png
 
Kwenye mji wa Tunduma wafuasi wengi wa Chadema walikamatwa kutokana na uchaguzi wa mwaka jana...

Baadhi wametoka ila wengi bado wako ndani, kuna tetesi wanakaribia kutoka karibuni.

Sasa wale wahafidhina wa chama tawala wale waliofurahishwa ama kusababisha wanachadema kuwekwa ndani.. wanaonekana kutofurahishwa na hizo taarifa..

Hivyo inasemekana yanatengenezwa mazingira ionekane hao watu hawana sifa za kuachiwa huru.

Inasemekana lakini...
Ni lini watanzania tutapendana?
 
Wafuasi 6 wa Chadema wilayani Momba mji wa Tunduma wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma moto ofisi mbili za serikali za mitaa na kumtishia kifo diwani

Hata hivyo DC Kulandaka waMomba amemtaka duwani huyo kutowaogopa hao Bavicha na aendelee kuchapa kazi serikali inamlinda

Source: ITV habari
Hii nchi mpaka kinuke ndio tuheshimiane, manina
 
CCM wamechoma ofisi zao wanasingizia wafuasi wa CHADEMA!

Bado sisi tunasema tozo la simu ni unyang'anyi!

Ofisi zenyewe za mtendaji wala hizijachomwa, bali wametia alama kwenye milango ya hizo ofisi ili kufunika ukweli wa wao kubomoa ofisi ya cdm iliyo kwenye ujenzi. Hizi siasa za kishenzi za ccm kwa kushirikiana na jeshi la polisi kulianza enzi za JK, chini ya kina Mwigulu Nchemba, Napena kupata nguvu zaidi kipindi cha yule rais muovu aliyepita. Naona bado watu wenye tabia zile wanatumia mbinu zile zile.
 
Ni lini watanzania tutapendana?
Ccm ikitoka madarakani. Kimsingi ccm imepoteza ushawishi wa kisiasa kwa umma, na haiko tayari kukubali kuwa imepitwa na wakati, hivyo wanategemea siasa za hila na mabavu kusalia madarakani.
 
Nasoma habari sioni kipi kilichofanya hao vijana waitwe "Chadema", naona bado mnaishi kwa kukariri mambo yenu mengi, tozo za miamala ya simu hatuzitaki, ni uporaji mnawafanyia walalahoi.
Hamzitaki hizo tozo wewe na Nani ,Hama nchi nenda Sudan kusini,hakuna nchi imewahi kuwa na maendeleo bila kutoza raia wake Kodi,tulipeni Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu .

Pongezi kwa serikali ya awamu ya sita kwa kuja na mbinu za kuifanya nchi yetu ijikomboe kiuchumi,

Tuipende nchi yetu,tulipe Kodi kwa uaminifu.
 
Back
Top Bottom